Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
mimi kulialia sasa baasss!!
kwani nawewe ulikuwa wajilizaa?
mimi kulialia sasa baasss!!
We different indeed ila kila mtu kabla hayajamkuta huwa na akili hizi.NairobiOption said:Haswaaaaaa . . . .!
Aliyesema mapenzi yanarun dunia! Hajakosea hata kidogo!! So vilio havitaisha kamwe as long as jukwaa hili ni mahususi kwa mambo kama hayo 2tasikia mengi!! Cha msingi we kama upo katika mahusiano mapenzi na ndoa omba mungu yasikukute la sivyo utakuja kulia hapa ushindwe hadi kuweka koma na vituo.
Jamani yale mambo huwa nadhan ni automatic!Kwasababu maisha bado yanaendelea msijisahau sana. Cc NairobiOption watu8
Don't confuse men with boys!
Men don't cry...whilst boys do!
hii ni nadharia isiyothibitika umejenga assumptions hata uwe na vitu vyote vizuri wanawake wanavyovitaka bado utalia tu kwenye mapenzi thats why no queen or king of love matajiri wanalia kama kawaida,ma handsome na beautiful wanalia kama kawaida MAPENZI HAYANA FORMULA depends on destinyBinafsi sijui kama nakosea, ila nikiona mwanaume anayelalama sana hapa jamvini kuhusu kutendwa n.k, huwa najiwa na mawazo haya yafuatayo:
1. Maybe he ain't man enough...
2. Kaparamia mapenzi pasipo kujiandaa...
3. Umri mdogo...
lol!!!! bora umewapa maana vilio vimezidi.... anyway sa ivi zianze nyuzi za kuboresha mapenzi!!!!
EXCELLENT IN DEED!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Men might have all the powers as you claim but every now and then they need just a little help from the heavens.
The true power is not on what you can do or decide to do but rather what you can make someone else do what you want them to do.
Hence men have the power but women have the wisdom to control and manage that power to our advantage.
Don't confuse men with boys!
Men don't cry...whilst boys do!
hii ni nadharia isiyothibitika umejenga assumptions hata uwe na vitu vyote vizuri wanawake wanavyovitaka bado utalia tu kwenye mapenzi thats why no queen or king of love matajiri wanalia kama kawaida,ma handsome na beautiful wanalia kama kawaida MAPENZI HAYANA FORMULA depends on destiny
Hata kama utalia basi just keep it to ya'self...cryin out loud ain't gonna change nothin.