Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Mimi nahandle yote bila shida,simu yangu ni mali yng mimi pekee...istoshe kuanzia saa4 ucku huwa sipokei simu niwe hom ama kazini,leo naelekea mwaka wa 8 kwenye ndoa full shangwe
 
Eti hawa ndio wa kristo na kila jpl wapo makanisani..ache kusali tu au mjiunge na Islam muoe mke zaidi ya mmoja..na sio umalaya tu mlioundekeza chini ya kivuli cha dini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Eti hawa ndio wa kristo na kila jpl wapo makanisani..ache kusali tu au mjiunge na Islam muoe mke zaidi ya mmoja..na sio umalaya tu mlioundekeza chini ya kivuli cha dini.

#MaendeleoHayanaChama
Kabisa kwa hali hii mimi ni mkristo naunga mkono hoja kuliko kujifanya ww ni mkristo safi kumbe unafanya dhambi ya uzinzi nje. Mtu anajisifia eti ana michepuko 6. Yani navyojiheshimu hivi nakataa vishawishi kwa wanaume namtunzia mume wangu na afya yangu leo nimkute live au msg inayoonyesha wamefanya hiko kitendo kweli he will pay the price.
 
Utafanyaje ukigundua kwa ushahidi kabisa kuwa mume wako amefanya nje ya ndoa?
 
Utafanyaje ukigundua kwa ushahidi kabisa kuwa mume wako amefanya nje ya ndoa?
Ntamuabisha ukoo mzima na nitachukua vizibiti vyote ntajitahidi kufatilia na kuvipata then ntaenda kanisani kwa baba paroko ndoa ivunjwe. Kwa sababu ndoa itavunjika tuu ikiwa kuna uzinzi umefanyika. Shida ni kwamba huwa tunawaza watoto mara familia ila hatuwazi magonjwa,mateso kwa familia ikiwa huyo mchepuko atamchukua akili mazima huyo baba. Na itabaki kuwa aibu kwake maana itajulikana alikua na mke ila hakua mwaminifu.
 
Punguza munkari Mama,hii Dunia sivyo unavyoifahamu wewe. Utakufa kwa pressure kwa mambo marahisi.
 
Hayo ni maneno tuu,lakini vitendo hutaweza.
 
Tunafundishana ujambazi sasa
 

Utamfanyaje sasa my dear
Tupe ujuzi[emoji1]
 

Utawaacha wangapi mumy kwa kesi za kuchepuka Kama hizo
Mfano mchepuko umekutafuta umejitambulisha na ushahidi juu ukimuacha huoni unampa nafasi huyo mchepuko[emoji848]
 
Dawa ni kuacha tu. Utashikwa tu mwisho wa siku au utamsababishia mama watoto na yeye kurevenge tena hadharani bila hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…