Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?


Una miaka mingap?
 
Ni Nani huyo kasema tunawachukulia poa tumlambe viboko...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unao wangapi?
 
Mbona kuhangaika kote huku..sibora usiowe uwe singo boi..au oa mke zaidi ya mmoja...huu ni usenge kujifanya faithful kumbe malaya tu na upumbafu..mtakufa kwa ngoma.

#MaendeleoHayanaChama
😀😀😀😀😀
 
Ni noma mkuu, sema sijawahi kumpa sababu za kuanza kunifuatilia. Na pia niko selective sana, game nacheza na ma pro tu
Pro ipi mkuu, pro, pro min au pro max.
 
Huyo Ni pro mkuu.
Nimekutana na Unskilled one .....nikatumia skills zote kumpagawisha , Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock ...na Anajua kuwa Nimeoa.

Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu Kama kuhandle michepuko.
Mkuu kama yupo Dar au Mwanza nipe huyo niwe Handler
 
Yaani upo mule mule kama Mimi tuu,Mimi naweza kumpa Wife simu akakaa nayo mpaka aseme basi. Hakuna kuchati kwa sms za kawaida,mwendo ni WhatsApp tuu.
 
Bado hujakutana na Malijendari
 
Hizo zote porojo,kikubwa unapiga mbupu basi.
 
Kuna pisi nyingine lazima uzitembezee uongo ndio uile,ukishaila na kuichoka ndio unamsanua. Kuna Mchepuko nipo nao takribani Miaka 7 sasa na haujui kuwa nina Mke. Nafanyaje Miaka yote hiyo asijue wala kisisanuke home,hiyo ni siri ya kambi.
 
Principle yangu yangu ya kwanza lazima mchepuko ajue kuwa nimeoa na nina familia so ni juu yake kubaki au kuondoka kuna mmoja sikumwambia mara ya kwanza kuwa nina mke akaja kujua baadae akaniuliza nkamjibu ndio akanuna miez mingi tu mm na namba nkafuta ila baadae akajirud mwenyewe ila mchepuko wangu wwte ratiba yangu yote nampa na masharti kuwa simu ruksa munipigia au kunitext nikiwa kazini tuu but muda wwte nikiwa home kutoka kazin na weekend hasa jpili hakuna call wala text mpaka nkutafute mm na wanatii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…