Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

Kwanza kabsa nashukuru kwa kunipa nafas hiii ya kuchangia
Kaka tafuta kisimu kidg kizur ndo kiwe kina number za michepuko alaf ukiwa na hicho kisimu unakuwa uingii nacho ndan unakiacha dukan kwa mangi asbh unakipitia jion unakirudisha
Pia inasadia sana kwasb ukiwa na wife unakuwa free sana
 
Hivi zile amri za mwenyezi Mungu zililetwa kwa wanadamu au kina nani? Usizini/ Usikurubie zinaa
Yeyote asiseme nimechagua dhambi wakati zingine twafanya , swali ni moja je ukishaifanya hii dhambi unajuta kwa kiasi gani? Hapa sioni anaejuta zaidi ya kufurahia uzinifu na kupeana mbinu za kuzidi kuzini? Mtaacha lini uzinifu
 
Nadhani maombi yako ungeomba uongofu kwa Mungu na si kumshukuru kuja kichangia jinsi mtavozidi kufanya uzinifu
 
Hyo sio sababu ya kuvunja ndoa, utasubiri sana
 
Mimi siungi mkono uchepukaji katika maisha yangu, na napenda kuwa mfano wa mume mwema kwa mke wangu. Ila nataka nitoe mfano au somo kwa faida ya wote wenye ndoa waume na wake, kuna mdada ana ndoa yake ya miaka zaidi ya 5. katika maisha yake ya ndoa alikuwa anashangazwa na hali anayoikuta chumbani kwao kila arudipo toka kazini, tofauti na alivyoiacha anapokuwa anaenda kazini. Kwa bahati nzuri siku moja alipata dharura ya kurudi nyumbani maana kuna kitu alikuwa amesahau nyumbani, basi alimfumania mume wake na mke wa mtu mubashara kitandani kwao na huku mtoto wa huyo mama akiwa anacheza sebuleni bila wasi. Yule mke wala akufanya ugomvi, bali alitoka chumbani akaenda kukaa sebuleni , yule mgoni wake alivaa haraka haraka na kumchukua mwanae na kuondoka mume akampigia magoti , mkewe akamsamehe maisha yanaendelea mpaka leo mwaka wa tatu na wakaongeza na watoto 2 zaidi.
Sasa kama angechukulia hasira inamaana angemfaidisha yule mchepuko , angevunja ndoa yake siku moja tu katika maisha yake yote, aliyoitunza.
Muda mwingine huitaji kufanya maamuzi ya jazba kwenya jambo kubwa kama ndoa. Ndoa si jambo dogo au rahisi kama watu wachache wanavyolichukulia kwa wepesi.
Hebu jiulize wakati, mnachumbiana , na wakati mnachangisha michango ya arusi yenu, na viapo vyenu pale madhabahuni mbele ya watumishi wa MUNGU na familia na jamii kwa ujumla iliyoudhulia arusi yenu!!!!
Ukisha tafakari hayo , jiulize tatizo lipo wapi mpaka yanatokea hayo, mwisho jiulize kweli nimwachie mchepuko avunje ndoa yangu kirahisi hivyo? Jibu hapana.
Basi , samehe maisha yaendelee ...
Hakuna atakayeuchua uume wa mumeo na kuondoka nao.
Msipende kuwapa watu faida zisizowastaili.
 
Reactions: _ly
Hapo WhatsApp bado amateur kula hii
Download fm WhatsApp Kuna option ya kuhide chats with password ...
Download ukishindwa kufanya mwenyewe nipo nikupe maelekezo.
Shida yote hii ni ya nini 🙌🏽
 
Hahaha "make up " naona hili limepitishwa kuwa kipimo cha kuwa mgogoro solved
 
Hahaha tena ogopa sana mke anaejifanya yameisha kirahisi jua anaingia field aje na research report
 
Unatafuta line maalumu ya michepuko na simu yake na unakuwa unaiacha kwa mpiga rangi viatu mtaani kwako,wewe unakuwa unairudisha wakati wakwenda nyumbani..simple tu.

Chepuka at your own risk.
Hahaha inaitwa don't care
 
Yeye akija kumfumajia mkewe kitandani na mwanaume meingine;atamsamehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…