Moyo wa mapenzi kwa hawa singo mazaz ulishakufa kitambo sana.Wengi wao wamekuwa traumatized ktk past relationships...kwahiyo suala la kupenda huwa halipo kwenye mioyo na akili zao, wanachoangalia ni kuwa na mwanaume yeyote yule anayeweza kumtunza yy na mwanae/ wanawe