Ahlan wa sahlan
Katika ulimwengu wa sasa hawa kina dada na kina mama wanaolea watoto peke yao wanahitaji sana wanaume ambao kwanza watahakikisha wanaweza kuwatunza wao na watoto zao kuliko kuwapenda .
Mwanamke huwa anampenda sana mwanaume aliyempatia watoto ila kutokana na sababu za hapa na pale zinazopelekea mahusiano hayo ya kwanza kufa huwa ule moyo wao wa kupenda kama mwanzo nao unapotea hivyo katika mahusiano yanayofuata huwa wanaangalia sana mwanaume ambae anaweza kuwahudumia wao na watoto.
Kama huna uwezo au pesa ya kumtunza sungle mother na mwanawe/wanawawe nakushauri usijaribu kudate nao maana uhusiano wake na yeye hautakuwa na matunda yoyote yale.