Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
Mkuu hongera sanaMm navutiwa na lipstick za mpnz wangu huyu wa kisarawe,ambaye akikaa chumbani anapenda kuwa***View attachment 823230
Mkuu hongera sanaMm navutiwa na lipstick za mpnz wangu huyu wa kisarawe,ambaye akikaa chumbani anapenda kuwa***View attachment 823230
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yaan Darmian huwa unafikiria kweli
AiseeeNakuja unipe hiyo service
Hahahaha haina shida oga tuu ajue sura yako halisi toa na kawigi mom
Always I'm not comfortable with those lipsticks Bro! Natamanigi kumwambia afute kwanza then come close to meBinafsi nakuwaga mzito kumyonya mate mwanamke akiwa amepaka rangi/lipstick (and the like) midomoni. Zile rangi zote zitaishia tumboni kwangu.
Hivi hakuna madhara yoyote yanayosababishwa nazo? Maana huyu kapaka pink, two days later kapaka red, now days naona hadi nyeusi. Mwisho wa siku they complain about nguvu za kiume. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
So my question to you fellow broh. Are you comfortable with it?
Nawasilisha
Analyse.
Hata mm siwez. Mwanamke wangu ananijuaBinafsi nakuwaga mzito kumyonya mate mwanamke akiwa amepaka rangi/lipstick (and the like) midomoni. Zile rangi zote zitaishia tumboni kwangu.
Hivi hakuna madhara yoyote yanayosababishwa nazo? Maana huyu kapaka pink, two days later kapaka red, now days naona hadi nyeusi. Mwisho wa siku they complain about nguvu za kiume. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
So my question to you fellow broh. Are you comfortable with it?
Nawasilisha
Analyse.
AiseeWatu tunanyonya mk..
Aisee
HapanaUnapendaa
Hapana
Wacha zinipiteHutaji kujaribu raha za dunia?!
Wacha zinipite