Men perfume

wakuu naomba mwenye kujua perfume nzuri ya kiume ya budget ya Tsh. 30000.. naomba kujua jina

what is your taste? Unapenda iliyo strong scented? faint kidogo au musk?Mbali na hivyo kuna zile zinazofanana na marashi(al ud),zenye ladha ya matunda, ugoro nk nk nk.So ni vigumu nionavyo kukushauri bila kujua ladha yako ni nini? Au you are interested in any smell-ili mradi kunukia?
 
Kuna thread ilianzishwa na TF ina kila kitu kuhusiana na Men's Perfumes...utayajua hata usiyofikiria huko, na siku yako itabadilika!
 
mmmh!!yaani nitembee nikinuka ugoro barabarani jamani!!!bora kuendelea na mafuta yangu ya mgando 'vaselin'

Kicheko! Zamaulid, inakuwa na harufu ya tumbaku/ugoro flani hvi kama perfum moja inaitwa ''man of paris''. sio rahisi kuielezea hyo harufu ndio maana kwetu sie twasema ipo scented kama tumbaku au ugoro!
 
what is your taste? Unapenda iliyo strong scented? faint kidogo au musk?Mbali na hivyo kuna zile zinazofanana na marashi(al ud),zenye ladha ya matunda, ugoro nk nk nk.So ni vigumu nionavyo kukushauri bila kujua ladha yako ni nini? Au you are interested in any smell-ili mradi kunukia?

mimi napenda iwe faint kama vile Hope au ismiyaki.. yani ukipita baada ya hatua kama mbili ivi ndio mtu anakushtukia! Lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom