hata ukijifanya haufanyi usiku itakurudia tu, angalau kwenye ndoto lazima utaztoa. Wengne unakuta zmejaa mpaka znachungulia kabisa. Akiguswa kidogo anashituka.
Mimi nilishawahi kukaa miaka miwili bila ngono. Sina hakika kuhusu miaka mitatu ila nadhani inawezekana. Unajua ni nini, ni ngumu sana pale mwanzo kama miezi sita hivi lakini ikishakatika hiyo nadhani unaweza kwenda hata miaka kumi.