Men only.

Asante mwanaume mwenzangu kwa kumuelimisha Speaker.

Asante bana,ila nimejua sio tusi baada ya mabishano ya mda mrefu.
Lakini hiyo hailifanyi jina lako kuto ashiria tusi,....kumbuka ni vigumu mtu kuangalia jina
na kutafuta kamusi,....sijawahi kuiona kamusi after all.
404369_10150620210555758_692130757_9111796_130369483_n.jpg
 
Huyo dogo hana tatizo lolote, hizi mambo anazopitia ni kawaida tu..........Wewe mwenyewe angalia anagonga 30 amewahi kuwa na totoz 6 tu halafu eti naye anajiona ana matatizo ya kupenda totoz!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani yuko Ok bin Fine, Kuna watu wakiwa 25 unakuta wana msururu wa totoz kama 50 hivi.

Kuhusu hiyo ID yangu isikupe presha, nishastaafu hizi habari ila si unajua legacy(Mkuu Bwa'Nchuchu nisaidie kiswahili chake hapa) huwa haiishi siku moja.

Duh,no wonder vifo vya wanaume viomeongezeka siku hizi.
Hivi kukojoa kojoa sifa eh?
Mie naogopa kufa kabla ya mke wangu haha,...........
ndo maana kama ni goli ni moja tu,ingawa hadi linatoka kesha panda na kushuka mlima mara 3.
 
Asante bana,ila nimejua sio tusi baada ya mabishano ya mda mrefu.
Lakini hiyo hailifanyi jina lako kuto ashiria tusi,....kumbuka ni vigumu mtu kuangalia jina
na kutafuta kamusi,....sijawahi kuiona kamusi after all.
404369_10150620210555758_692130757_9111796_130369483_n.jpg

Kama huna kamusi ya Kiswahili sanifu basi nakushauri uwekeze kwenye moja. Itakusaidia sana.
 
Kama huna kamusi ya Kiswahili sanifu basi nakushauri uwekeze kwenye moja. Itakusaidia sana.

Yaani hicho kitakuwa kitu cha mwisho kufanya kwenye maisha yangu hapa
duniani,....najua kuongea kiswahili bana.
wewe endelea kusoma tu,....ila kipanya anakupa ujumbe kamili kapa.

423313_10150620202580758_692130757_9111776_1812077577_n.jpg
 
Basi kama hujui tafsiri au maana na neno fulani ni busara kukaa kimya na kuutafuta ukweli kuliko kujifanya mjuaji na kuanza kubishana kuhusu kitu ambacho hukijui.
 
Basi kama hujui tafsiri au maana na neno fulani ni busara kukaa kimya na kuutafuta ukweli kuliko kujifanya mjuaji na kuanza kubishana kuhusu kitu ambacho hukijui.

We jamaa kama kichaa vile.
Nime kwambia hata kama UBOHO ina maanisha bone marrow hauhitaji kuwa profesa
kujua hilo ni neno ambalo linaashilia tusi,.....

bado unataka turudi kule kule?
Ni bone narrow,lakini ni kiashilia cha tusi,kwa mtu mwenye HEKIMA hawezi kulitumia
kwa ututezi kama wako huo.
 
Sikia mwana, mapenzi au upendo unaendana na Saikolojia. Ukishajityuni akili mwako juu ya kitu fulani, ndivyo itavyokuwa. Inawezekana ulishajiwekea kwamba wewe ni "HIT AND RUN" ndio maana inakuwa hivyo kwasababu akili yako imeshajityuni hivyo. Tafakari kwanza mambo yako ulivyoanza ulijiwekaje?
Habari zenu wanaume wenzangu.

Mwenzenu nina tatizo jamani, siwezi kuwa kwenye uhusiano na msichana kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa huwa nawachoka sana wasichana ninaokuwa nao. Sio kwamba ni wabaya au hawaniridhishi, no!Ila nakuwa bored sana nikishakuwa na msichana for months yani sitamani tena ku do nae. Kwa hesabu za haraka haraka nimeshakuwa na wadada 6 tangu nianze hii makitu ila sijawahi dumu miezi 6 ktk mahusiano. Kiumri kwa kweli niko above 30, ila napata was was nikioa nadhani ntamtesa wife.

Wanaume wenzangu, ivi hata wenzangu mko ivyo au ni mimi tu! Napenda sana new relationship ila duh, ikishakuwa na ka mwezi ivi basi hamu yote kwisha kabisa
Ebu wanaume wanishauri nifanyeje nidumu ktk uhusiano. Its serious jamani naombeni nishauri
 
Duh,no wonder vifo vya wanaume viomeongezeka siku hizi.
Hivi kukojoa kojoa sifa eh?
Mie naogopa kufa kabla ya mke wangu haha,...........
ndo maana kama ni goli ni moja tu,ingawa hadi linatoka kesha panda na kushuka mlima mara 3.

Mkuu nadhani hujanielewa. Issue sio kukojoa isu ni kushindwa kudumu na msichana jamani. Nifanyeje nisimchoke?
 
We jamaa kama kichaa vile.
Nime kwambia hata kama UBOHO ina maanisha bone marrow hauhitaji kuwa profesa
kujua hilo ni neno ambalo linaashilia tusi,.....

bado unataka turudi kule kule?
Ni bone narrow,lakini ni kiashilia cha tusi,kwa mtu mwenye HEKIMA hawezi kulitumia
kwa ututezi kama wako huo.

Kwanza, kwenye Kiswahili hakuna neno "linaashilia". Kuna 'linaashiria'.

Pili, hilo neno linaashiria tusi kama tu akili yako iko huko kwenye matusi muda wote. Kwangu uboho haliashirii tusi lolote lile.
 
What is going on here!!!! What we can discuss now, the name or the topic! Let us discuss the topic cz i see here there are a lot of blind people!
 
Wewe huwa unatamani wanawake na huwa hupendi! Jaribu kutulia utampata unaempenda! Hata mie narukia sana mademu kama kuku! Ila ninae mmoja tu ninaempenda kwa moyo wangu wote, hao wengine huwa ni tamaa zangu tu za mwili
 
Mkuu nadhani hujanielewa. Issue sio kukojoa isu ni kushindwa kudumu na msichana jamani. Nifanyeje nisimchoke?

Well,...
sometimes yawezekana tatizo haliko kwako......
Labda wao ndo wanajiweka katika hali za kuchokwa,...sio wabunifu,....wana bweteka.......etc.

Lakini kwa upande mwingine ni wewe mwenyewe,haujawahi penda bali unatamani tu.
Ndo maana ukisha maliza hamu yako unahisi kumchoka na haraka unaona mwingine na kutamani
kuwa nae ukizani atakuwa wa tofauti.

Nimekuwa na mchumba wangu tunae tarajia kufunga ndoa karibuni kwa miaka 6 sasa,...
ana mapungufu mengi kama vile nilivo na mapungufu mengi vile vile lakini tume vumiliana
maana UPENDO WA KWELI HUVUMILIA.

Napenda kutumia biblia kama kiongozi wangu katika kujenga hoja hapa.

1Wakorinto 4-8:
Mungu anaongelea kuhusu upendo wa kweli,.....
Mwenye upendo huvumilia,hufadhili,mwenye upendo hana wivu,hajidai,wala hajivuni.

Mwenye upendo hakosi adabu,hatafuti faida yake binafsi,wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya
,hafurahii uovu,bali hufurahia ukweli.

Mwenye upendo wa kweli huvumilia yote,huamini yote,na hustahimili yote.
Upendo hauna kikomo kamwe.................

2Timetheo 2:22
Jiepushe na tamaa za ujana,fuata uadilifu,imani,upendo,amani pamoja na watu
wote ambao wanamwomba Bwana kwa moyo msafi

Yako meeengi ya kuongelea,ila kutokana na wewe mwenyewe naweza sema hayo mawili.
Ila kwa kiwango kikubwa wewe ndo utakuwa chanzo.

Lakini yawezekana pia umri wako ukawa mdogo ndo maana unashindwa kumvumilia mtu maana
ukipiga mahesabu hata mda wako wa kuoa bado uko mbali sana.

Ukiona hivo tulia,usiwe na haraka ya kumtafuta umpendae na ukimpata kubali
kwanza kabisa kwama HANA KILA UNACHO TAKA,....lakini ukumbuke pia kwamba
HAUNA KILA ANACHO TAKA.

Jifunze kumzoea,mvumilie,....onyaneni,...fundishaneni,....pongezaneni na
mwisho wa siku utajikuta unakuwa na mke mwema ambae anakujua vyema na
una mjua vyema pia.

Nionavyo mimi,ukiendelea hivyo unaweza kufika mda wako wa kuoa na kwakua
hautakua na mtu uliye kuwa nae karibu aka kufahamu vyema na ukamfahamu,...
unaweza kutana na mtu MIEZI MITATU (3) na kutangaza ndoa..........
Ndoa kama hizi mmmmmh,sidhani kama zinadumu maana umekutana na mtu
aliye ishi miaka 25 hukooooo anako jua yeye,na unajidai ndani ya miezi mi3
ume mfahamu na unataka kumuamini mkae nae kweli?

Tulia kaka,tengeneza future yako sasa.
Nita kutafuta kwa ukaribu zaidi pia,if you don't mind me disturbing you.
 
Wewe huwa unatamani wanawake na huwa hupendi! Jaribu kutulia utampata unaempenda! Hata mie narukia sana mademu kama kuku! Ila ninae mmoja tu ninaempenda kwa moyo wangu wote, hao wengine huwa ni tamaa zangu tu za mwili

Bila aibu unajisifu,..................
 
Unapokuwa unaanza uhusiano ni nini kinachokuvutia kwa huyo mwanamke?!!! Iwapo unakuwa unasukumwa na maumbile au namna utakavyoridhika kingono kudumu katika uhusiano itakuwa ngumu.

Kuna usemi unaosema mwanaume anaeenda kulala na mwanamke ambaye haamki naye. Inamaanisha kuna uwezekano mkubwa kile ambacho unakitarajia hasa kingono usikione kwa mwanamke, ila kama utakuwa unampenda kwa nama nyingine nje ya ngono akawa anakuvutia na kukufanya uhitaji kuwa naye kila wakati.
Hivyo, nakushauri tafuta mwanamke ambaye mtakuwa na vitu mnavyoendana(hobies) mtakuwa na mengi ya kushirikiana na kubadilishana zaidi ya kuhusiana kingono.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom