Men only (inahusu wanaume)


Maneno makali,ila yamejaa ukweri mtupu
 
Samahani wewe mtoa mada ni mmoja wa viongozi waandamizi wa serikali iliyopo madarakani?
 
Elimu ya bongo kabla ya kuwaongezea ujasiri na kutokuwa na aibu kwenye kutafuta hela badala yake inageuza mchapakazi kuwa mvivu, bishoo, na kuwa selective wa kufanya baadhi ya kazi.Mi nimekuelewa mtoa mada huu ujumbe uanzie na kwako

Elimu ni elimu mkuu
Uthubutu na kufanya maamuzi ndo watanzania wengi hatuna.
Hatuna ile ari ya kusota na kukomalia kitu hadi kitutoe.
Tuna uvivu wa kufikiri, tunawaza kitu kimoja.
Ndo maana tunazidi kuwa average kila siku.
 
Mleta mada hongera kwa ujumbe murua.
Kazi kwao vijana wa smartphone era.
 
nimesoma yote...iko poa sana,ujumbe mzuri kabisa..
 
itabid kushare manake hamna namna sasa.
 
Umeandika ukweli mtupu na anaye pinga apinge tu lakini ulicho kiandika kipo kinaishi.
 
Duh! umeongea ukweli mtupu, nilijua ntakutana na stori za kitandani kumbe chakula ya bongo, asante kwa darsa nimekuelewa vema mkuu japo nimejikuta niko nyuma nusu hatua lakini aluta continua, ila inachoma!

wanaume tumeumbwa mateso - TX
 
Nilijizuia kuisoma hii mada kwakuwa mi ni mwanamke lakini curiosity ikanishinda. Mada nzuri
 
Mkuu umepigilia msumari kwenye kidonda...
hongera kwa uzi mzuri na wenye kujenga.
 
Yap uko sahih mkuu guys we have to wark up and fight life is too hard lakn pole pole tutafika lakin tukumbuke pia Mungu yupo na pale inapohitajika msaada tutoe kwa moyo mmoja hyo ni moja ya ya njia nzuri sana ya kupata Baraka toka kwa muumba wa mbingu na nchi
 

Dozi hii nzito
 

word,
its just y`day bro angu mmoja alikua anajisifia yeye kidume cha nyumba, ana mtoto ambaye kamzalisha mwanamke yupo nae home, but kazi hatak fanya/or cause hajapata, bali ubraza meno mtaani, ukimpa hela ajisaport, anachezea coz alikuwaga driver akasema driving licence imepeotea ku-renew hadi leo 2yrs na alishapewa hela. jaman mimi ni mdogo wake but nishamweleza but habadiliki, i wish angeona hii post.maybe angebadilika jaman. he prays alot but Mungu hatusaidii kama hatuhangaiki wenyewe pia. Mungu amsaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…