Men, on your first date with her

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Men

On your first date with her

-Switch off your phone

- Sit Upright

-Look at her directly

-Listen to her boring stories & pretend you are enjoying them

-Dont be talkative chatterbox

-She is not interest in your Jeremiads

GUARD YOUR FRAME


FELLOW KING🤜🙃
 
Men

On your first date with her

-Switch off your phone

- Sit Upright

-Look at her directly

-Listen to her boring stories & pretend you are enjoying them

-Dont be talkative chatterbox

-She is not interest in your Jeremiads

GUARD YOUR FRAME


FELLOW KING🤜🙃
Mademu wetu wa Uswazi ukimuangalia machoni utasikia..... hmm wewe baba vipi kunitumbulia mijicho yako? Halafu umezima simu unaogopa malaya wako watakupigia?
 
Men

On your first date with her

-Switch off your phone

- Sit Upright

-Look at her directly

-Listen to her boring stories & pretend you are enjoying them

-Dont be talkative chatterbox

-She is not interest in your Jeremiads

GUARD YOUR FRAME


FELLOW KING
Nizime simu?
 
Nadhani angeweka vizuri zaidi, kwamba simu ikae pembeni. Usiperuzi peruzi kwenye simu muda wote. Ni dharau na kiburi.

Sio kuzima simu.
Hii ya kuweka simu pembeni imewai kunipa credit kwa demu mmoja akaniambia kabisa wewe ni watofauti sana yaani tumeongea kama masaa mawili sijakuona ukichat kwenye simu yako tofaut na wanaume wengine
 
Back
Top Bottom