miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Sijaelewa,
yeye anakutumia picha ya dushe ili umtumie ya papuchi yako?
ale DUSHElele DUSHEleDUSHEle DUSHElele oooh, ale DUSHElele DUSHEleDUSHEle DUSHElele waeko oohhhh....
naimba tu...
Umeongea point sana bidada. Mimi nimekuja kugundua picha nyingi za utupu zinazozagaa kwenye mitandao ni kutona na ugomvi katika mapenzi. Si dhani kama hii ni busara kwa kweli.
Wadada ukiona mwanaume kakufanyia hivo kamshitaki kwa kosa la udhalilishaji mbona sheria saizi zipo wazi.
me naona dushe wala halina mvuto, ata likiwekwa kwenye web,halivutii bali linaogopesha .....kiruuu...ha ha ha hapa lazima tupate suluhuu kila siku picha za wadada tu
hivi mtu unakuwa unawaza nini hadi unapiga picha utupu wako....
mwanume mwepesi sana kutuma dushe lake hasa kama anamashine inayotosha ...... kuna wengine wanalilia kabisa unatuma na yeye atume kalioNa wanawake wasikubali kutuma picha za utupu cz hizo picha zikisambaa mtandaoni utamlaumu nan na wakat ulipiga na kutuma kwa hiari yako,kuna kipind nilikuwag na rafiki ambay hakuwa boyfrnd wang wala nn alikuw akininganganiza sn nimtumie picha za utupu nikamwambia tuma kwanz zako akakataa baadae akatuma mimi nikakataa kumtumia tangu hapo alikasirika sana na kuninunia ,lakini wasichana tuwe makini la sivyo tutaendelea kudhalilishwa kila siku
kwanza kwa nini unamtumia utupu kwenye simu, kama ni mpenzi wako akiutaka si unampelekea live? mambo mengine ni kujitakiaa na wala sio uzalilishajiUmeongea point sana bidada. Mimi nimekuja kugundua picha nyingi za utupu zinazozagaa kwenye mitandao ni kutona na ugomvi katika mapenzi. Si dhani kama hii ni busara kwa kweli.
Wadada ukiona mwanaume kakufanyia hivo kamshitaki kwa kosa la udhalilishaji mbona sheria saizi zipo wazi.
miss chagga hahaaaa...nani kakuudi leo? Haya tema mate tumchaaape.