Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

Thubutuuu usicheze na moyo,ukipenda kweli hayo yote hutayafikiria.acha kabisa kitu kinachoitwa mapenzi

Ndo inatokea mtu hakutaki sasa,unafanyeje..ajitahidi tu,wengi wamepitia hayo na waka move on. Tena bora yake yeye..wengine wanaachwa baada ya kutumika miaka kibao.
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Don't give your wounded heat to the same man who brake it, si u come kwangu sasa am doctor love. Njoo pm
 
Inategemea na situation itavyokua. Unaweza kufukuzia mwanamke ukampata lakini usipate yale uliyotarajia kutoka kwake. Hapo ndio mizengwe inapoanza sasa.Pole sana dada hayo ndio maisha ya mapenzi.
Fafanua mstari wa pili
 
kuna maneno aliimba Banana Zoro kwenye wimbo wa Zoba nanukuu "Maumivu ya mapenzi yashinda msiba" pole sana move on
 
Hahaa pole dadaa I know how u feel....effort zote zinakuwaga kwaajili ya papuchi tu na si vinginevyo akishaipata aendelee kusubiria kitu gani tena?

utakuta alikuwa anampiga mizinga asubuhi jioni halafu akikimbiwa majanga. Me demu nikiona anapiga mizinga ya ovyo ovyo nammwaga faster
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

mkipendwa huwa mnajisahau,
 
There a pipo wanasema kumsoma mwanamke ni ngumu sana.... bt ukweli kuwasoma na kuwaelewa wanaume ni ngumu zaidi.... coz hw can some1 go through all that alafu ukimkubalia he just changes.. kuna saa naona hawa watu hawana moyo kabisa wat they hav is only d*cks, that's the only thing they knw hw to satisfy....
Just forget abt him my dia... life is full of fun if u just do u, just put efforts on keeping yo self happy... I knw there is some1 out there who is crazy for u, just b patient.
 
kitu kimoja ambacho huwa nakiona katika mahusiano,wanaume si watu wa kulalamika katika mapenz,hata umfanyie nn yeye ataumia tuu moyoni na ikiwezekana kupotezea,japo tayar anakua ameshajua ni aina gani ya mwanamke aliye naye! siku aki react kwa hayo anayofanyiwa wewe utalalamika kuwa umeumizwa,umeshasahau ulifanya nn! wanawake acheni kulalamika sana,kila sehem wanawake wana complain tuu! hivi hamna wanaume wanaoumia kimapenz? si ajabu wapo wengi kuliko hata wanawake,acheni kuishi maisha ya filam za kifilipino kwenye maisha ya kawaida!
Mama zetu hawakuchepukwa? kwa nn walikuwa hawalalamiki kama nyie? sababu ni kwamba waliongozwa na hekima na uvumilivu kwa kiasi kikubwa,sio nyie na beijing yenu kosa kidogo tuu unakimbilia mtandaoni! utakachokipata hapa ni sumu zaid ya kukubomoa
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Single again....nimefurah kujua,hivyo...

Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti umrembo na bado wang'ara.

ngoja tuanze mipango ya kumfariji taratibuuuu
 
You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.

Karma is a w.h.o.r.e
 
Woman, if a man breaks your heart it is your fault.

If a man cheats on you it is your fault.

If a man leaves you or is chasing on another woman it is your fault.

Matatizo mengi yanayowapata wanawake ni makosa yao wenyewe na hakuna namna lazima yawapate.
 
hahahaha inauma sana nakumbuka ile siku mdada namkubali sana anakuja kunambia "I LOVE YOU.you've done nothing wrong,i haven't either but i think we are not destined to be together.let's part ways" sasa yeye yuko sawa,and am pretending to be.
 
Na nyie wanawake mmezidi sana kupenda hela.

Mnatukubalia sisi wanaume kwa sababu mmeshapiga hesabu zenu kuwa mkitukubalia tutakuwa tunawahudumia na kutatua matatizo yenu.

Na mwanaume ambaye alikuwa hajadata kihivyo na wewe akishaona unataka kumgeuza ATM aendelee kukaa hapo anasubiri nini?? Wakati hizo hela anaweza kutumia kupata papuchi zingine zilizomzunguka na anazokutana nazo maana wanawake wazuri wamekuwa wengi, kila kona.

Pia kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ni full stress. Ni bora kujichanganya.
 
There a pipo wanasema kumsoma mwanamke ni ngumu sana.... bt ukweli kuwasoma na kuwaelewa wanaume ni ngumu zaidi.... coz hw can some1 go through all that alafu ukimkubalia he just changes.. kuna saa naona hawa watu hawana moyo kabisa wat they hav is only d*cks, that's the only thing they knw hw to satisfy....
Just forget abt him my dia... life is full of fun if u just do u, just put efforts on keeping yo self happy... I knw there is some1 out there who is crazy for u, just b patient.
How can allow yourself to go through all that just to turn your boyfriend into some ATM? Think!!
 
Back
Top Bottom