Anonymous101
Senior Member
- Sep 21, 2015
- 176
- 66
Si bora mimi ambaye sikumpotezea muda huyo niliyemkataa.Mbona povu linakunwagika?wakati anakutongoza yuko pia aliekua na mapenzi ya dhati na wewe alikua anakutongoza na ukamkataa.
1.Umejichunguza kujua nafasi yako kwenye kwenye kuchangia kuvunjika hayo mahusiano ni nini..??You spend your time pursuing a woman akikubali unamuacha kwenye mataa.Mipango yenu inakua nini?? Umekuwa close na mtu halafu suddenly unamuacha. Unakua umemchoka au? Wakati we ndio ulimuanza. So all the work and energy you put into the relationship didn't mean anything to you or do you just lose interest overnight?
Some f.u.c.k.i.n.g loser broke my heart and I miss him a lot and getting over him will be hard ila sirudi asepe zake!
Anyway naombeni majibu yenu.
Hawa watu hawana tofauti wote wapo sawa.Hahaa pole dadaa I know how u feel....effort zote zinakuwaga kwaajili ya papuchi tu na si vinginevyo akishaipata aendelee kusubiria kitu gani tena?
Ungelijua hilo wala usingeumia.....Hawa watu hawana tofauti wote wapo sawa.
Hawa watu hawana tofauti wote wapo sawa.
I know I'm not perfect and I have my flaws but I was faithful. Tulikua vizuri kabisa yani wiki baada ya yeye kuhamia sehemu mpya ndo haya yameanza. Sijui kapata mwingine au vipi lakini naomba ujibu swali langu.1.Umejichunguza kujua nafasi yako kwenye kwenye kuchangia kuvunjika hayo mahusiano ni nini..??
2. Ni mqhusiano yako ya kwanza au..?? Kama hapana nini sababu ya kuvunjika kwa mahusiano ya kwanza..??
3. Wakati unamkubali huyo jamaa, alikuwa na asilimia ngapi ya vigezo uvitakavyo..?
4. Wakati inakubali kuanzisha mahusiano, nia ilikuwa nini..? Ndoa au kupitisha muda tu..??
5. Wakati upo na jamaa ulishawahi kuwa na mtu mwigine..?
Thubutuuu usicheze na moyo,ukipenda kweli hayo yote hutayafikiria.acha kabisa kitu kinachoitwa mapenziBinti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti umrembo na bado wang'ara.
Hahaa asante sanaBinti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti umrembo na bado wang'ara.
HYeah. I messed up a few times while growing up. My ego always tripped. And I would really wish I never did that, 'til I upgrade to a finer piece.
Here's the trick. We always miss those who move on and turn out reaaally fine after the break up. Long as they don't keep the bitterness, and they're no longer available to us.
Lesson learnt.Mapenzi ni kamali.hapa umeliwa.
Utacheza tena au umesusa???.
Kikubwa cha kujivunia ni kwamba umejifunza kitu kipya katika maisha yako.
Hahaa pole dadaa I know how u feel....effort zote zinakuwaga kwaajili ya papuchi tu na si vinginevyo akishaipata aendelee kusubiria kitu gani tena?