Mnajipa shida bure zama zimebadilika bwana mdogo hayo maisha waliishi wazee , wewe tafuta hela , nukia vizuri , kula vizuri , walale akina dada kwa adabu na staha basi utaheshimika kuwa wewe ni mwanaume ila huna hela alafu ujifanye eti ni msolid ni kupoteza mda na kuukimbiza upepo