Kwenye talaka yenye mgogoro hakuna aliye msafi

lord atkin

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
319
Reaction score
1,108
Uwe mwanamke au mwanaume unaomba talaka mahakamani siyo lazima uongee kila kitu.

Pengine kweli mwenzi wako ana tatizo la nguvu za kiume na hadindishi, au ana kibamia sijui uke unatoa harufu au kweli alikuomba kinyume na maumbile lakini ni lazima useme?. Ni lazima kweli uongee mambo ya chumbani na mambo ya siri mbele ya mahakama ili upate tu talaka?

Kesi za talaka ni public records ukishasema ndiyo ushajianika hivyo hakuna namna utafuta. Bahati mbaya kesi ikakatiwa rufaa ikaenda mahakama kuu au mahakama ya rufaa inageuka kuwa precedent. Ninamaanisha huko mbele itatumika hata kufundishia vyuoni. Siku moja mtoto wako yupo chuoni anasikia mwalimu anatolea mfano kesi ya talaka ya wazazi wake eti mwanaume (baba yake) alikuwa na kibamia au hadindishi).

I know in a messy divorce no one is clean lakini siyo lazima useme kila kitu ili upewe talaka. Na mbaya zaidi wengine wanatunga hata vitu si vya kweli na mtu huwezi kuvua suruali mbele ya mahakama kuthibitisha kuwa unadindisha au huna kibamia.
Wakatabahu.
 
Talaka ni nyepesi kuliko jambo lolote, ondoka, nenda Tafuta Mwanamke, au Mwanaume mwingine Anza upya.....

Aliyebaki anapenda ndoa, aende omba talaka, na mtu akiomba Talaka yake kwa nn umkatalie?

Dunia ina watu wa hovyo, kesi na kuvuana nguo ya Nini??? Unataka talaka Mama? Ndiyo, tukutane tuipange ili iwe nyepesi!

Kila mtu anachukua 50 zakez naweza mwelewa mwanamke anayegoma kupinga talaka, ila mwanaume akikataa talaka ni mtu mjinga sana, Hakutaki????? Ugomvi wa nn sasa?
 
hivi wewe si ndio jana ulileta uzi wa sehemu za mwanaume kushikwa shikwa, nataka nikushike shike afu nikuminye
 
Talaka ni nyepesi kuliko jambo lolote, ondoka, nenda Tafuta Mwanamke, au Mwanaume mwingine Anza upya.....

Aliyebaki anapenda ndoa, aende omba talaka, na mtu akiomba Talaka yake kwa nn umkatalie?

Dunia ina watu wa hovyo, kesi na kuvuana nguo ya Nini??? Unataka talaka Mama? Ndiyo, tukutane tuipange ili iwe nyepesi!

Kila mtu anachukua 50 zakez naweza mwelewa mwanamke anayegoma kupinga talaka, ila mwanaume akikataa talaka ni mtu mjinga sana, Hakutaki????? Ugomvi wa nn sasa?
Kumove on bila kupeana talaka ya mahakama kunaweza kuwa na madhara zaidi huko mbele
 
Back
Top Bottom