Mmmh.... Yaani hapa kuna mwanaume namnyenyekea mpaka nahisi kupata kichaa lakini hasomeki kabisaaaa.. Lol
Kuna ukweli kiasi flani katika hili lkn wengine hata wafanyiwe nini hawaridhiki. So hii formula hai apply kwa wote japo ni vizuri kujishusha na inapendeza kama unaweza.
Mmmh.... Yaani hapa kuna mwanaume namnyenyekea mpaka nahisi kupata kichaa lakini hasomeki kabisaaaa.. Lol
wewe ni weak kumbe, itakuwa umeshawahi kuendeshwa eeh?Aisee kuna kaukweli.
wewe ni weak kumbe, itakuwa umeshawahi kuendeshwa eeh?
nikiona mwanamke ile tu anataka kunipanda kichwani napiga chini , ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ile kutaka kumpanda kichwani mwanaume. na ni zoba tu ataendelea kuwa na mwanamke wa staili hii.Au ww huendeshwagi?? Unaeza ukakataa hapa lkn ukiwa ndani kwako ww.......!
nikiona mwanamke ile tu anataka kunipanda kichwani napiga chini , ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ile kutaka kumpanda kichwani mwanaume. na ni zoba tu ataendelea kuwa na mwanamke wa staili hii.
Ukiona hivyo ujue hakupendi,,lkn kama anakupenda lazma atasomeka tuu
Ukiona hivyo ujue hakupendi,,lkn kama anakupenda lazma atasomeka tuu