Men are cruel to single women

Mahusiano yanapovunjika basi ujue kila mmoja ana nafasi ya kucheza, ndio maana yakaitwa 'mahusiano'. Haipaswi kulaumiwa mwanamke au mwanaume pekee.

Swali lingekuwa nini kifanyike ili kudumisha mahusiano kwa wote? Its a two way trafik, sio kwa mwanamke tu. Sote tuna cha kufanya.
 
Duh,aisee umeponea sana kumpata huyo kaka....


Aisee mshukuru sana,please do that...
Hata nikiachika leo ntaolewa tena. Walikuwa wengi kwenye mstari. Na huyu kaka sio kwamba nimembahatisha, i know how to keep a man.
 
...
Swali lingekuwa nini kifanyike ili kudumisha mahusiano kwa wote? Its a two way trafik, sio kwa mwanamke tu. Sote tuna cha kufanya.

Mahusiano hakika ni pande mbili na wote wanawajibika. Ila kwa hali ya sasa, ambayo ulimwengu ni wa mfumo dume, mahusiano bado yanaanzishwa na wanaume. Hivyo kuna haja ya wanawake kutafakari, kutathimini na kupima hali halisi kabla ya kuingia katika mahusiano.

Lakini, mwanamke huingia kwenye mahusiano (kwa mapenzi yake mwenyewe) yakavunjika, afanye nini kulinda penzi lake!

Kwa sababu hizo bado swali la Sonnet (kwa nini bado yu 'single') ni la msingi. Ni akina mama tu wanaweza kumpa jibu sahihi.
 
Basi jibu ushalitoa kuwa ni 'mfumo dume' ambapo mwanamke ndio anatakiwa kuhustle to keep a man who daznt even wants to be kept.
 
Looks to me that your too much based into specifics, wanting men with certain types of caliber including the financial status and looks, I don't know it could be any but you've already created a character of your choosing which will take you way too hard to find, there is a saying that "if you give in and accept society's stereotypes, then you start thinking, 'I cannot dance till late at night because I'm 70"...my simple advice is that you deliberately need to change that perception of things and start letting the natural adjustments take its part when it comes to love and relationships, the heart and brain don't always compromise when it comes to this sort of stuff, plus lower your self a little, u sound way too classy in some way which is quiet intimidating
 
Basi jibu ushalitoa kuwa ni 'mfumo dume' ambapo mwanamke ndio anatakiwa kuhustle to keep a man who daznt even wants to be kept.
'The Boss' et al: mmeipata hii ya 'atoto' kwamba 'men do not want to be kept'.

Aluu, ingekuwa hivyo wanaume nao wangenung'unikia kuwa 'single'!!!
 
I still don't see staying alone is a problem, what matters here is to get your daily blade. Don't you hear many people are crying because of unplanned marriage?.

Nowadays, people are fighting for the peace of mind, they want to be free of stress provided all the basic needs are available.

Let the man come on his own and never apply any kind of force to put him in your hands. You won't enjoy the sweetness of love instead such kind of love will become poisonous to your heart.

So, you better first create a good environment before spending a lot of your time searching for good investors to make your environment better.

Your message is really touching but don't allow your body to be easily touched through this touching message.
 

You want specifics? Read my update of the post. (Update: Sarcastic sentence right here)

l apologized to those who don't know English and to those who were" intimidated" like you
 
You want specifics? Read my update of the post.
l apologized to those who don't know English and to those who were" intimidated" like you

Well I didn't know if the intention of the post was more about bringing up some sort of argument or finding out where could be wrong so we could atleast reach to some sort of consensus through expressing our views on the matter rather than expecting some ignorant responses from the poster who seem to only wanting to hear what she wants to hear, am sorry for expressing my views, have a good day sister
 

That is your opinion. Not a fact. Your opinion is that l am ignorant.
 
Hahahaaaa! Nacheka kama mazuri. Ila kuna single 2 ikumbukwe. Kuna SINGE LIKE SERIOUSLY SINGLE. NA KUNA SINGLE YETU YA KIMJINI MJINI AKITOE MTU MWANAUME WA MAANA ANAELEWEKA OFCOURSE YOU ARE SINGLE, HATA AWEPO BABY DADY, FIANCE SINGLE IS CRUCIAL. Sasa sijajua uko SINGLE ipi?
 
Sijui kwanini tu, ila mostly wanawake ndio huwa tunakuwa victims. The world isnt fair.
Wanawake tuwe wa kweli, SIO KWAMBA WANAUME HAMNA, TUNATAKA WANAUME WA MAANA SANAA, AKUZIDI ELIMU, PESA, MAISHA, SASA HAPO KAZI IPO. KAMA MIMI IM SINGLE TECHNICALLY ILA SIWEZI KUKAA NALAUMU, CAUSE I HAD MY SHOTS TAMAA TU NDO ZILIPONZA, WE ALL HAD OUR SHOTS AT A POINT IN TIME. SEMA MIMI NINA ROHO NGUMU KAMA JIWE. HAHAAAA.
 
ahahaaa unajua wanaume huwa hawatuelewi wanawake maskini wanadhani kwa sababu mwanamke yupo 30+ basi watatutumia watakavyo. kwamba tupo desperate na ndoa.yes wanawake wengi tunaadmire kuwa na ndoa ila no way mtu utajipeleka popote! bora kufa na tai shingoni kuliko kuolewa na mtu asiejitambua .mwanaume alipe bill ndani ya nyumba meen!
 
That is your opinion. Not a fact. Your opinion is that l am ignorant.

And neither did i say it was a fact either...was just a general view but there again u perceived it differently, you've just built this wall that you aren't ready to allow other opinions that won't correlate to yours get through, that won't get into any justification "in my opinion"...personally i believe that when somebody really wants to get through with some complications, they have to be ready to take into account on all the variables that will be prevailing on the matter
 
But then even if you look at his answers and they match up, always remember that pathological liers exist in this world.
 
ahahaaa wanaume wapo tena wengi tu lakini tamaa hizi.mtu unaanzaje kulala chini na mtu wakati wengine wanaishi masaki huko?
 

Atleast unazijua shortcomings zako which is a good thing kwa maana ni rahisi zaidi kujipanga upya unapo yafahamu na kuyakubali mapungufu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…