There goes my dota[emoji8] [emoji8] [emoji8]Swts naomba tu nikupinge ulichokiongea.
Kutuambia kwamba tukifika 26 tumbebe tu yeyote atakayekuja, that's a big NO kwangu, na sitomshauri mtu awe desperate kwa sababu ya age. What is miaka 26 bana? ?? Afu sielewi why mnaconsider as if kumuoa mwanamke ni kama kumpa offer sijui ni favor ambayo hatakiwi aikatae. Kwamba ukifika tu HS nataka nikuoe basi me naitikia tu kwa shangwe "Ahsante baba angu" shaaa. Mpaka umekuja kwangu, una vigezo vyako vilivyokufanya unichague mimi, so usubiri tuone kama na me vigezo vyangu vitakuchagua wewe. Ndoa ni mutual agreement as far as i'm concerned. Na sioni tatizo mtu akiwa "choosy" as long as anajua what she really needs. (Wants Vs Needs). Kuna vitu ni vyema mtu acompromise na kuna vingine si vya kucompromise, visije vikakutesa huko mbeleni
Cha msingi mtu akifikia stage amejua nini kusudi lake ndani ya ndoa, na amempata mtu "wanayeoana" na kusudi lao, basi asichezee nafasi hiyo. Ila akiona mtu haeleweki, kwa kweli akatae tu. What matters the most to me sio kuolewa, Ila ku-last kwenye ndoa. It's of no use niolewe leo, Afu after week narudi ndoa imenishinda, ooh mwanaume ana A, B, C. Ni kweli sikuona mapema kuwa hatuendani au niliconcentrate tu na kuitwa "mke", jamii isininyoshee vidole kwa kuwa umri umeenda? ? I aint in a rush or desperate for marriage , I simply need a good lasting marriage, na ntaisubiria tu no matter how long it takes. Above all msisahau, everything happens in God's perfect time. Hata wanawake wote tungekuwa sawa kwa kila kitu, kila mtu angeolewa siku yake. Yes kuna walio-mess up, na kuna ambao wanasubiri tu siku zao zifike. Kwa hiyo nikifika 40s na bado single, haimaanishi nina matatizo sana teh
Huwa wanajiona wote ni waume, na kila mwanamke anawafaa.Kuna jambo nmepata hapa,why do men take a marriage offer kama inamsaidia mwanamke Tu?watu wana assume nini,wanaume wote wanafaa kuwa waume kweli??vijana mjitafakari
Si vinatafutwa, tafuta pesa ingia gym pia mbona inawezekana!! Visivyowezekana ni vile vilivyo nje ya uwezo wako,let say kibamia[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ukweli ni vyema ukawekwa wazi..heshima ya mwanamke kwa mwanaume wake inatokana pia na mwanaume yuko wapi kimaisha, Kuna mapenzi ndio lakini heshima ndo anachotaka mwanaume, sasa mabinti wasilaumiwe kwa kukataa wanaume, simply mtu anaona hawezi kukuheshimu ndo mana...wanaume angalieni kama lipo la kujifunza hapa muache kulialia na kusimanga wanawake bure,Kuna nafasi yenu hamjaishika ipasavyoo....Wanawake tuwe wa kweli, SIO KWAMBA WANAUME HAMNA, TUNATAKA WANAUME WA MAANA SANAA, AKUZIDI ELIMU, PESA, MAISHA, SASA HAPO KAZI IPO. KAMA MIMI IM SINGLE TECHNICALLY ILA SIWEZI KUKAA NALAUMU, CAUSE I HAD MY SHOTS TAMAA TU NDO ZILIPONZA, WE ALL HAD OUR SHOTS AT A POINT IN TIME. SEMA MIMI NINA ROHO NGUMU KAMA JIWE. HAHAAAA.
Coz ndoa ni ishu ya maisha..watu watakubalije kirejareja?Huwa wanajiona wote ni waume, na kila mwanamke anawafaa.
Kukuoa wewe wanakuwa wamekufanyia favour as mwengeso said unatakiwa ustruggle kuhakikisha hiyo offer ulopewa inadumu, lasivyo unamwagwa.
Kiruuuuuuu!!!!
Kwanini watu huwa wanaangalia hali ya kiuchumi?? Ukiona anahofu hali ya uchumi ujue kakuona hakuna bright future ahead, hakuna asopenda shida jamani.Sweet heart umeongea vizuri
natamani nikujibu kwa kirefu ngoja nijaribu ila kwanza appreciate ulichosema.
Nimejaribu kusema na aina flani ya mabinti wanaopata nafasi ya kuchumbiwa wao wanawakataa sababu ya hali za uchumi za vijana hao (tunaumia sana mjue) za kiuchumi halafu baadaye wanaanza kulalamika na kumlilia Mungu.
Kwa jina la upendo kama mtu umempenda akakupenda kuna haja gani ya kuangalia hali yake ya uchumi, muonekano na alipotoka kama upo kwenye umri sahihi?
Hahaha wanaume bana,yeye kuchagua ruksa,kuchaguliwa hatakii...kitu cha 'for life' kweli ni cha kuingia kichwa kichwa??Hakuna kitu kama hicho, hapo ndipo wanaume huwa wanakosea, hawajuivkukataliwa hawa, huwa wanajiona they can get every woman they want, ukimreject ndio balaa inapoanzia, na madhaifu yako yooote yataonekana, na laana zote utatwishwa.
Yaani its like women are not supposed to choose, hell NO, cha msingi tu usiwe tooooo choosy(too much is harmfull)ila kila mtu ana vigezo vyake, kama ambavyo wao wana vyao nasi tuna vyetu, maybe ninameet vigezo vyako but yo not. So tupeane nafasi tu, kila mmoja ampate alie sahihi kwake, usifanye jambo kumfurahisha mwingine ilihali unateketea ndani.
Hahahaaaa!!! Monopese ndio fimbo wanayotumia kutuchapia.Ndugu yangu struggle ya kuoa na kuolewa inatuhusu wote tu. Kuna wanaume ambao washajikatia tamaa ya kuoa kabisa, na wengine wapo desperate hatari. Ila inaonekana kama wanatufanyia favor simply because sis tuna menopause wao hawana, basi
Hatujavisahau vyote tunavikumbuka bwana, kwani hakuna wanaotunza familia na kwenda gym? Au hiyo ni luxury you cant afford??Mkwe ambia na wenzako
mpunguze "expectation"
Mwisho wa siku hizo Gym
haziwezi kulea familia na
kupeleka watoto shule.
Kuna vitu vya muhimu
mnavisahau
Eti nijibebee tu kisa am26 au 30+ jamani jamani, ndoa sio rehasal ati!!!Hahaha wanaume bana,yeye kuchagua ruksa,kuchaguliwa hatakii...kitu cha 'for life' kweli ni cha kuingia kichwa kichwa??
Haha hata sisi tunakataliwa kwa sababu ya hali za kiuchumi na uzuri. Binadamu huwa tunapenda sana kubebewa mizigo yetu, ila kubeba mizigo ya wenzetu wagumuuu. Nani asiyependa kuoa/kuolewa sehemu ambapo kuna unafuu??? Ni sawa na me nilalamike kuwa mtu kanikataa kisa I ain't beautiful, kwa kweli ntashukuru tu, asije akanioa kwa huruma, huko ndoani hata kuongozana na mimi hataki Lol. Tena wanaume mkishafanikiwa kidogo, ndo standards zinapandaje, which is very ok to me ( unavyozidi kupanda juu hata circle yako inabadilika). Afu sometimes ukiwa huna hela, unakuwa too sensitive, ukikataliwa tu unahisi ni kwa sababu huna pesa. Inawezekana kweli pesa huna, na vigezo vingine anavyovitaka mtu huna, afanyaje? Tena mwanamke akikuonesha yupo interested sana na hela, ndo vizuri, unajua kabisa I can't keep her aende tu. Kuliko ajilazimishe kuolewa na wewe, huko ndoani siku ukifulia, utafurahiiiSweet heart umeongea vizuri
natamani nikujibu kwa kirefu ngoja nijaribu ila kwanza appreciate ulichosema.
Nimejaribu kusema na aina flani ya mabinti wanaopata nafasi ya kuchumbiwa wao wanawakataa sababu ya hali zao za kiuchumi halafu baadaye wanaanza kulalamika na kumlilia Mungu.
Kwa jina la upendo kama mtu umempenda akakupenda kuna haja gani ya kuangalia hali yake ya uchumi, muonekano na alipotoka kama upo kwenye umri sahihi?
...
Kutuambia kwamba tukifika 26 tumbebe tu yeyote atakayekuja, that's a big NO kwangu, na sitomshauri mtu awe desperate kwa sababu ya age. ...
... I aint in a rush or desperate for marriage , I simply need a good lasting marriage, na ntaisubiria tu no matter how long it takes.... Kwa hiyo nikifika 40s na bado single, haimaanishi nina matatizo sana teh
Haha Field Marshall mkubwa wewe, ukae huko huko kwako.There goes my dota[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hivi ungekurupuka huyu mfilipino wako ungemtoa wapi? Si ungesikia maneno ya watu kuwa hayo yapo kwenye tamthiya tu, kumbe tamthiliya zinaigiza maisha ya watu.
Khaaah, na watuwache tuchague, nikifikisha 40 bila bila nahamia kwa dota wangu nikamvuruge[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Physical attraction ni ya muhimu bana. Ndo kinachotautisha Kati ya upendo wa baba na baby. Kuna muda ukifika ni nyoyo tu zinaongea, kama mtu hajakuvutia unadhani utananhiliuuu. Mtu akuvutie, uwe comfortable naye kuongozana na hata kumtambulisha " he is the one" Labda tu wale wanaotaka mwanaume wa kusifiwa na mashosti zake wote, ndo waache huo udwanzi. Mumeo awavutie shosti zako, ndo atawaoa? Akikuvutia wewe tu inatosha
Yaani akiondoka na aende tu walaaa hauna haja ya kujilaumu sana, mengine hutokea ili anaestahili aje. Walaa siji kuregret na kuliwazia. Yawezekana alikwenda akafanikiwa ndio lkn angekuwa na mimi hakuna rangi ningeacha ona. Watu waache kuwa waoga na kufurahisha watu kwa kung'ang'ania muhogo mchungu.Haha hata sisi tunakataliwa kwa sababu ya hali za kiuchumi na uzuri. Binadamu huwa tunapenda sana kubebewa mizigo yetu, ila kubeba mizigo ya wenzetu wagumuuu. Nani asiyependa kuoa/kuolewa sehemu ambapo kuna unafuu??? Ni sawa na me nilalamike kuwa mtu kanikataa kisa I ain't beautiful, kwa kweli ntashukuru tu, asije akanioa kwa huruma, huko ndoani hata kuongozana na mimi hataki Lol. Tena wanaume mkishafanikiwa kidogo, ndo standards zinapandaje, which is very ok to me ( unavyozidi kupanda juu hata circle yako inabadilika). Afu sometimes ukiwa huna hela, unakuwa too sensitive, ukikataliwa tu unahisi ni kwa sababu huna pesa. Inawezekana kweli pesa huna, na vigezo vingine anavyovitaka mtu huna, afanyaje? Tena mwanamke akikuonesha yupo interested sana na hela, ndo vizuri, unajua kabisa I can't keep her aende tu. Kuliko ajilazimishe kuolewa na wewe, huko ndoani siku ukifulia, utafurahiii
Kingine nyie wanaume, wengi tu tunawaona mmeanzia mbali na binti wa watu, mkifanikiwa kidogo tu, utasikia wewe sio hadhi yangu, hadhi yako inaanza kuwa na kina Lulu. Mpigwe wote juani, vivulini mkacheke na wengine? Ambaye hana moyo wa uvumilivu, inamkatisha tamaa, anaona bora aende Kwenye unafuu tu mapema
Sio kila mtu anaweza akamsupport mwenzake from scratch kwa moyo mmoja, ni wachache wenye neema hiyo. Na hata wakimbiwaje wapo hivyo hivyo, they won't change na hawaregret coz ni kitu walichokifanya kutoka ndani ya mioyo yao. Tusilazimishe mtu akuvumilie while hana neema hiyo, utasimangwa ujute kuzaliwa. Wenye mioyo ya kuwasuppott watawasupport tu, ila ndo msiwakimbie mkishafanikiwa. Na mtu akikukataa, muache tu aende, vingine sio riziki zetu haviliki. Kwenye kutukataa ndo wengine wanajifunziaga makosa yao humo humo. Don't complain, inawezekana ile rejection ndo ilikuwa mlango wako wa baraka
Physical attraction ni ya muhimu bana. Ndo kinachotautisha Kati ya upendo wa baba na baby. Kuna muda ukifika ni nyoyo tu zinaongea, kama mtu hajakuvutia unadhani utananhiliuuu. Mtu akuvutie, uwe comfortable naye kuongozana na hata kumtambulisha " he is the one" Labda tu wale wanaotaka mwanaume wa kusifiwa na mashosti zake wote, ndo waache huo udwanzi. Mumeo awavutie shosti zako, ndo atawaoa? Akikuvutia wewe tu inatosha
Truth be told...nani asipenda kuoa/kuolewa penye unafuuu..Haha hata sisi tunakataliwa kwa sababu ya hali za kiuchumi na uzuri. Binadamu huwa tunapenda sana kubebewa mizigo yetu, ila kubeba mizigo ya wenzetu wagumuuu. Nani asiyependa kuoa/kuolewa sehemu ambapo kuna unafuu??? Ni sawa na me nilalamike kuwa mtu kanikataa kisa I ain't beautiful, kwa kweli ntashukuru tu, asije akanioa kwa huruma, huko ndoani hata kuongozana na mimi hataki Lol. Tena wanaume mkishafanikiwa kidogo, ndo standards zinapandaje, which is very ok to me ( unavyozidi kupanda juu hata circle yako inabadilika). Afu sometimes ukiwa huna hela, unakuwa too sensitive, ukikataliwa tu unahisi ni kwa sababu huna pesa. Inawezekana kweli pesa huna, na vigezo vingine anavyovitaka mtu huna, afanyaje? Tena mwanamke akikuonesha yupo interested sana na hela, ndo vizuri, unajua kabisa I can't keep her aende tu. Kuliko ajilazimishe kuolewa na wewe, huko ndoani siku ukifulia, utafurahiii
Kingine nyie wanaume, wengi tu tunawaona mmeanzia mbali na binti wa watu, mkifanikiwa kidogo tu, utasikia wewe sio hadhi yangu, hadhi yako inaanza kuwa na kina Lulu. Mpigwe wote juani, vivulini mkacheke na wengine? Ambaye hana moyo wa uvumilivu, inamkatisha tamaa, anaona bora aende Kwenye unafuu tu mapema
Sio kila mtu anaweza akamsupport mwenzake from scratch kwa moyo mmoja, ni wachache wenye neema hiyo. Na hata wakimbiwaje wapo hivyo hivyo, they won't change na hawaregret coz ni kitu walichokifanya kutoka ndani ya mioyo yao. Tusilazimishe mtu akuvumilie while hana neema hiyo, utasimangwa ujute kuzaliwa. Wenye mioyo ya kuwasuppott watawasupport tu, ila ndo msiwakimbie mkishafanikiwa. Na mtu akikukataa, muache tu aende, vingine sio riziki zetu haviliki. Kwenye kutukataa ndo wengine wanajifunziaga makosa yao humo humo. Don't complain, inawezekana ile rejection ndo ilikuwa mlango wako wa baraka
Physical attraction ni ya muhimu bana. Ndo kinachotautisha Kati ya upendo wa baba na baby. Kuna muda ukifika ni nyoyo tu zinaongea, kama mtu hajakuvutia unadhani utananhiliuuu. Mtu akuvutie, uwe comfortable naye kuongozana na hata kumtambulisha " he is the one" Labda tu wale wanaotaka mwanaume wa kusifiwa na mashosti zake wote, ndo waache huo udwanzi. Mumeo awavutie shosti zako, ndo atawaoa? Akikuvutia wewe tu inatosha
Bibie...Leeyooo watajiju... just be you.
Hahahaaaa!!! Jiandae na huo mvurugo wake maana nitakuwa na stress zisizo na mfano, mbona unalo[emoji12]Haha Field Marshall mkubwa wewe, ukae huko huko kwako.