POLE BAHARIA20-04- 2018
It was a sad day, my Dad was gone. Historia kubwa kuliko kwenye Maisha yangu. my lovely Dad akifariki Kwa husda za binadamu, kwanini baba uliwapuuzia.
uliniacha kwenye kipindi kigumu sana Daima upo moyoni mwangu Baba yangu kipenzi na pengo lako ni kubwa mno.
Nakumbuka sana Baba
Nakupenda Baba
Pumzika Kwa Amani Baba.
Mungu atutie nguvu wote tuliopoteza mzazi au wazazi, kweli maumivu huwa hayaishi20-04- 201...
It was a sad day, my Dad was gone. Historia kubwa kuliko kwenye Maisha yangu. my lovely Dad akifariki Kwa husda za binadamu, kwanini baba uliwapuuzia.
uliniacha kwenye kipindi kigumu sana Daima upo moyoni mwangu Baba yangu kipenzi na pengo lako ni kubwa mno.
vita umeniachia Mimi naelemewa baba
Nakumbuka sana Baba
Nakupenda Baba
Pumzika Kwa Amani Baba.
Nakazia..Ni vile tu ..hatuna la kufanya ...inabidi tuukubali ukweli..Mungu atutie nguvu wote tuliopoteza mzazi au wazazi, kweli maumivu huwa hayaishi
Kweli kabisaNakazia..Ni vile tu ..hatuna la kufanya ...inabidi tuukubali ukweli..
Pole Sana mkuu..ndio maisha..!
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Pole Sana, Muombe Mungu atakua mfariji wako.Me machoz yangu kila siku ni kwa mama yangu... sikuwah kudhani mama yangu angeniacha mapema yote hii. Na kero zote hizi za dunia Leo sina pa kufafijiwa bila unafiki najifariji mwenyewe
AminaPole Sana, Muombe Mungu atakua mfariji wako.
Comment yako imenipa majonzi. Maskini njoo mama nikufariji ndugu yanguMe machoz yangu kila siku ni kwa mama yangu... sikuwah kudhani mama yangu angeniacha mapema yote hii. Na kero zote hizi za dunia Leo sina pa kufafijiwa bila unafiki najifariji mwenyewe