Habari za asubuhi wana jukwaa.
Naombeni utatuzi wa swali langu hapo juu nifanyeje sub woofer zangu zimeniharibia memory card zangu mbili kwa muda mfupi.
Nifanyeje?
Wale wanaopiga mziki heavy naomba msaada wenu.
Sababu inaweza Kuwa Jinsi Ya Kuchomeka Na Kuchomoa SD card pia Physical reson kama Vumbi kuingia, Maji Nk Ukubwa Na Gharama Ndugu Kama Umenunua Memory Kubwa Kwa Gharama Ndogo Nalo Linaweza Kuwa Ni Tatizo

Mkuu huwa nazima kwanza ndo nachomoa, memory hazina physical damage.
Sub woofer zangu natumia mimi mwenyewe sio swala la virusi hata memory zenyewe nime format kwanza ndio natumia sasa nashangaa kwanini iwe hivi?