Memory card/flash original ntazitambua je?

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Wakuu kuuliza si ujinga ? Nakubali kuonekana mjinga na mshamba kwa mda mfupi.
Swali langu ni kwamba nitaitambuaje kuwa hii ni memory card na flash original??

Nilisha wahi nunua flash na nikahifadhi mambo muhim sana ikaja ikabuma kiajabu ajabu wadau wakaniambia ilikuwa ni feki?

Je nitazitambuaje??
 
Kama unatumia Window 7:
Chomeka flash kwenye Pc, Right click hiyo icon ya flash > Chagua Properties > then filetype chagua NTFS badala ya FAT au FAT32. Ikikubali kuwa formated basi hiyo flash ni original. Kwa memory card inatakiwa uwe na card reader kwanza.


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…