Memories Kiss Fm Weekend Top 30 na Top 40

If you grew up listening to Hollywood Hamilton, Casey Kasem na Ryan Seacrest via KISS FM....na ulikua hukosi America Top 30, Top 40 na Billboard top 100...gather here tafadhali....
Ryan Seacrest , mwamba huyu hapa sasa aisee hii talent kwenye kutangaza sijawah kuona
 
Attachments

  • 4B6EAEAE-1964-445B-8110-87A4EDE47B32.jpeg
    4B6EAEAE-1964-445B-8110-87A4EDE47B32.jpeg
    14.6 KB · Views: 1
Hakutawahi kutokea redio ya kijanja TZ kama Kiss Fm. Watu wa Mwanza na kanda ya ziwa wangekuwa wanasikiliza Kiss na si kutumiana salamu Free Afrika leo wasingekuwa washamba kama walivyo

Kweli kabisa wale mangosha walikua wanatumiana salamu tu RFA utadhani hawakua na namba za simu wakapigiana
 
If you grew up listening to Hollywood Hamilton, Casey Kasem na Ryan Seacrest via KISS FM....na ulikua hukosi America Top 30, Top 40 na Billboard top 100...gather here tafadhali....
American top 40 with Ryan Seacrest....

Kiss FM ilbamba sana John Karan Dj Malu hivi watu hawa wako wapi kwa sasa?
 
Ryan Seacrest , mwamba huyu hapa sasa aisee hii talent kwenye kutangaza sijawah kuona
Wakati huo nilikuwa wish kwenda usa kuishi huko milele......nikikuwa najiona kama nimeshafika nikiwa namsikiliza hutu mwamba.....anajua mnooo
 
Wakati huo nilikuwa wish kwenda usa kuishi huko milele......nikikuwa najiona kama nimeshafika nikiwa namsikiliza hutu mwamba.....anajua mnooo

Niliijua USA yote kupitia zile show na wakati kwa macho sijawahi enda
 
Nimecheki jamaa bado yuko game ana show zake pia hadi american pop ifol huwa ana host....yuko vzr sanaa
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Tobby the Splash, nadhan mzimbabwe hivi hatari sana Kiss Fm...jamaa walikuwa mbele ya muda sana.
 
If you grew up listening to Hollywood Hamilton, Casey Kasem na Ryan Seacrest via KISS FM....na ulikua hukosi America Top 30, Top 40 na Billboard top 100...gather here tafadhali....
Nilikuwa natumia huo muda kupiga misuli ya PCB kila weekend
 
Back
Top Bottom