Membershp Only Movie&Whatsapp Request Group

Hahahahahahahahahahaaaa
Acha nicheke tu.
Vijana fanyeni kazi, hakuna pesa za bure.
Kama wewe umeweza kuzipata hizo movie basi na wengine watazipata tu bila kulipia 30k kwa mwezi.

Mkuu its sad unavyohangaika kunikwamisha wakat i already have paying clients [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania Ni Pazuri Sana Nchi Ya Asali Na Maziwa
Vyanzo Vya Mapato Ni Vingi Sana
Ndugu Zangu Tufanye Kazi
 
Habar yko
Zinakuwa ktk mfumo gn maan nyingi mnazikomvet mnaziaharb kabisa n bora msiwe mnatafsir kabas ili ziwe ktk ubora
 
Habar yko
Zinakuwa ktk mfumo gn maan nyingi mnazikomvet mnaziaharb kabisa n bora msiwe mnatafsir kabas ili ziwe ktk ubora
Movie quality yake 720p, 1080p (Blueray) pamoja na HDRips hamna movie za giza giza wala translation za kiswahili.......Series ni HDTV,na 720p pia zipo. All you will get is Quality nothing less
 
Mbona hizi movie unaweza kuona free online? Unadownload app unaangalia weee bila kununua popote. Ila sina nia ya kuharibu biashara yako. Mimi nina tea tv app. Movie/ series nyingi naona free na terrarium tv app.zote naangalia
 
Umesoma tangazo ukalielewa?
 
Wa Tanzania tunarudishana nyuma wenyewe kwa wenyewe, kama unaona huwezi acha wanaoona wanaweza watajiunga siyo kila mtu ana uwezo au anafikiri kama unavyo fikiri wewe. Sasa kuingiza makologesheni kwenye biashara ya mwenzako maana yake nini.? Hizo chuki binafsi.

Mkuu Olympus piga kazi, huu ni umasikini ndio unatufanya tunakua hivi.
 
THANK YOU. Mi nishawazoea mkuu wengi unakuta wanacomment wakiwa kwenye makochi ya shemej zao[emoji23][emoji23] so kwa hili am not suprised.Uzur wakicomment thread yangu inabakia JUU zaid kwenye forum hii...So more views more customers more money!
 
Mkuu hawa watu wanabadilisha mind set za watu wengine. Hasa ikiwa comment ya kwanza ndio ya chuki. Mi kuni vitu nataka kuanzisha so I wish to introduce humu JF ila watu kama hawa wananipa funzo nahitaji kujipanga zaidi ili nikabiliane nao ikiwezekana niwapunguze nitakapo anzisha.

Cha msingi we jua wapo na hawawezi kukosekana.
THANK YOU. Mi nishawazoea mkuu wengi unakuta wanacomment wakiwa kwenye makochi ya shemej zao[emoji23][emoji23] so kwa hili am not suprised.Uzur wakicomment thread yangu inabakia JUU zaid kwenye forum hii...So more views more customers more money!
 
Kwa. Hochote unachofanya mkuu lazima kuwe na changamoto...Just keep moving forward
 
Hiyo 30,000/= ndio ya kununulia hizo series na movies?
Au hiyo ya kua member tu, tukitaka movie tunalipia tena?
 
Hiyo 30,000/= ndio ya kununulia hizo series na movies?
Au hiyo ya kua member tu, tukitaka movie tunalipia tena?
Unalipa once a month coz kila momth unapata 40 Movies+20Seasons
 
Unalipa once a month coz kila momth unapata 40 Movies+20Seasons
Hapo nimeleewa,
Swali langu ni kua hiyo 30,000/= ndo gharama za hizo movie? So zikitoka utafanya tu kutuletea from hiyo 30,000/= tuliokwishalipa?
 
Hapo nimeleewa,
Swali langu ni kua hiyo 30,000/= ndo gharama za hizo movie? So zikitoka utafanya tu kutuletea from hiyo 30,000/= tuliokwishalipa?
Yap within ndan ya mwez....delivery once a week
 
Ila wa-TZ Acheni uchawi mbona mnakuwa hivyo.

Yaani mtu anaandika kabisa hakuna hela bure, sasa hapo hela ya bure kivipi wakati mtu anatoa huduma, au kazi mpaka ushike jembe?

Kweli hii nchi ccm itaendelea kutawala mpaka ichoke, tunarudishana nyuma wenyewe kwa wenyewe.
 
Hahahahahahahahahahaaaa
Acha nicheke tu.
Vijana fanyeni kazi, hakuna pesa za bure.
Kama wewe umeweza kuzipata hizo movie basi na wengine watazipata tu bila kulipia 30k kwa mwezi.
Unahitaji ukombozi wa fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…