Members wengi humu ni madomo zege

Members wengi humu ni madomo zege

zeshchriss kikao cha wanawake ni saa 2:00 za usiku huu au...???

[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani nimefika Muda muafaka hahahahahhahahshshshah..........
Wabadilike... Kule chumbani tabia za kuja kusalimia kila kipindi utadhani wapo kwenye ibada sio tabia nzuri.... Waleleze shida zao kama hazitatuliki waambiwe wakatafute solution mitaa mingine hukooooo
 
Back
Top Bottom