Members waliojiunga JF kuanzia 2006-2008 hadi leo hawa hapa, Je umemtambua nani aliye active hadi leo?

Abdulhalim, Mkandara, Kibunango, Mzee Mwanakijiji, Sikonge, Ibrah, MgonjwaUkimwi, Ogah, Kiranga, Zitto, Alpha, Lunyungu, Halisi, Shadow, Mchambuzi, JokaKuu, Mpita Njia, Gembe, Kakalende, SMU, Bongolander, Questt, Ngambo Ngali, Chamoto, The Boss, jmushi1, Semilong, Kang, Nyambala, KiuyaJibu, PakaJimmy, Zogwale, Kinyau, Saharavoice, Amoeba, Ndahani, Mfamaji, MAMMAMIA, Mwazange, Crashwise, zomba, Bujibuji, Nyani Ngabu, Mpenda Kwao, BAK, Binti Maringo, Nyamgluu, Steve Dii, Desidii, Mdondoaji, Mvina, Kivumah, Power to the People, Kisusi Mohammed, Msanii, Mafuchila, FirstLady1, Fixed Point, Mbogela, Balantanda, Pretty, TANMO, Riwa, Hofstede, Nemesis, Kaa la Moto, Remmy, MamaParoko, Mama Joe, simplemind, AmaniGK, Buchanan, Bramo, Gbollin, MwanajamiiOne, Masaki, Bubu Msemaovyo, Freetown, Amina Thomas, Choveki, MwanaFalsafa1, TIMING, X-PASTER, BelindaJacob, Saikosisi, MziziMkavu, Injinia, Original Pastor, Preta, Zion Daughter, Chamoto, NGULI, vivian, rmashauri, Susuviri, MwanaHaki, Masanilo, Yegomasika, Belo, Mahesabu, Kaizer, Gaijin, King'asti, MpigaKelele, Mag3, Nichola
Umemwacha lara 1 sijui amepotelea wapi huyo na story za wadangaji!!
 
Tufanyeje Sasa mkuu maana hali si nzuri. Mi ningeomba uongozi wa jf kuwe na jf ya wakubwa na watoto, tujisajili kutumia vitambulisho vya taifa.
Wazo zuri ila kuna wenzetu bado wanatamani kuwa watoto...
 
WAENDE WAKAMUONE MAX MELO AWAPE PENSHENI ZAO ZA KUTUMIKIA JF ZAIDI YA MIAKA 10.
WENGI WAPO HUMU ILA WAMEBADILISHA ID KWA SABABU ZA KIUSALAMA. ILA SISI WATAALAMU WA MIANDIKO HATA UKIBADLISHA ID TUNAJUA TU HUYU NI FULANI. WE CAN READ BETWEEN THE LINES.
 
BelindaJacob.MziziMkavu,BAK, Nyani Ngabu,Binti maringo,nilikua napenda sana topic za Mwanajamii One,The Boss..mmeenda wapi jamani,mmewezaje ku beat up JF Addiction?
Utoto mwingi Sana siku hizi.mie mwenyewe nilikuwepo enzi hizo baada ya kuona watoto wamekuwa wengi nikapumzika kuja kuridi nikawa nimesahau details za akaunti yangu so nikaja na hii.siku hizi nachunguliaga tu kiaina.
 
Abdulhalim, Mkandara, Kibunango, Mzee Mwanakijiji, Sikonge, Ibrah, MgonjwaUkimwi, Ogah, Kiranga, Zitto, Alpha, Lunyungu, Halisi, Shadow, Mchambuzi, JokaKuu, Mpita Njia, Gembe, Kakalende, SMU, Bongolander, Questt, Ngambo Ngali, Chamoto, The Boss, jmushi1, Semilong, Kang, Nyambala, KiuyaJibu, PakaJimmy, Zogwale, Kinyau, Saharavoice, Amoeba, Ndahani, Mfamaji, MAMMAMIA, Mwazange, Crashwise, zomba, Bujibuji, Nyani Ngabu, Mpenda Kwao, BAK, Binti Maringo, Nyamgluu, Steve Dii, Desidii, Mdondoaji, Mvina, Kivumah, Power to the People, Kisusi Mohammed, Msanii, Mafuchila, FirstLady1, Fixed Point, Mbogela, Balantanda, Pretty, TANMO, Riwa, Hofstede, Nemesis, Kaa la Moto, Remmy, MamaParoko, Mama Joe, simplemind, AmaniGK, Buchanan, Bramo, Gbollin, MwanajamiiOne, Masaki, Bubu Msemaovyo, Freetown, Amina Thomas, Choveki, MwanaFalsafa1, TIMING, X-PASTER, BelindaJacob, Saikosisi, MziziMkavu, Injinia, Original Pastor, Preta, Zion Daughter, Chamoto, NGULI, vivian, rmashauri, Susuviri, MwanaHaki, Masanilo, Yegomasika, Belo, Mahesabu, Kaizer, Gaijin, King'asti, MpigaKelele, Mag3, Nichola
Mmewakumbuka na waliobadirisha ID zao au mmewachukua waliokuwa wanatumia ID izo izo
 
hawa ni wahenga isee kipindi hicho walikuwa wanatumia kompyuta tu nadhani kuingia jamii forum maana smartphone hazikuwepo na hakuna aliyejua kama zitakuwepo.

Hapo nipo form two iseee..!

Dunia inakimbia sana
Mambo mengi mda ni mchache.
Mwaka 2008 Smartphone zilikuwepo mkuu,kulikuwa na Nokia ambazo una-touch kwa kutumia pen maalum. Hizi za sasa zimeboreshwa tu na kazi ya tecnolojia. Nilikuwa na touch km hiyo mwaka 2008. Na blog maarufu ilikuwa Jambo na bbc..hii Jambo ndo jamii forums hii iliyoboreshwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom