Members Alert: JF Featured on US Dept of State Report

Members Alert: JF Featured on US Dept of State Report

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,104
Reaction score
43,357
Nilikuwa napitia ripoti ya haki za binadamu kwa mwaka 2008 kutoka Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje. Kuhusu suala uhuru wa maoni na habari ripoti hiyo ina maangalizo kadhaa mojapo ni hili:

On February 18, Maxence Mello and Mike Mushi, editors of Jambo Forums, a popular public discussion Web site, were detained for 24 hours and their site closed for five days for "disseminating wrong information" concerning a scandal-ridden private energy deal involving the then-prime minister.

kwa upande mwingine kuhusu matumizi ya internet ripoti hiyo inadokeza:

There were no government restrictions on access to the Internet. During the year the police started monitoring the Internet to prevent trafficking in persons and other illegal activities. Websites and blogs critical of the government faced the same scrutiny and possibility of arrest as print journalists. However, in general, individuals and groups could engage in the peaceful expression of views via the Internet, including by e-mail. The number of Internet cafes and providers increased during the year; however, since only 10 percent of citizens had access to electricity, Internet access was severely limited.
Naibadilisha ripoti kuweka kwenye PDF ili watu waweza kujisomea...
 
Tutashukuru kuiona report yote hapa ili pamoja na mengine, wale wanaohusika kwa namna moja au nyingine kuzuia uhuru wa mawasiliano hasa katika kujadili na kuchambua hoja mbalimbali hapa jamvini wajue kwamba tu si tu wanawakwaza JF members bali inawezekana the whole world wanakwazika pia.
 
Ni hatua nzuri kwa JF kutambulika na vyombo mbalimbali. Hongera kwa wote walioifikisha hapa JF na tuendelee na kazi.
 
Masanja! Unabadilisha mada ya thread! Zitto mbane kwenye thread nyingine kuhusu sakata la Dowans!
 
Tunashukuru Mzee, unakumbuka baada ya juhudi zako na wengine wa JF jamaa wa CPJ wa New York walitangaza na walianzia hapa. CPJ wanaheshimika sana duniani kwa kutetea waandishi wa habari na JF tufahamu ni chombo cha habari na wanaoendesha ni wahariri.

Tanzania detains popular Web site editors - Committee to Protect Journalists

baadaye ndio wengine wakanukuu CPJ

UNHCR | Refworld | Tanzania detains popular Web site editors

2008 Human Rights Report: Tanzania

Halisi kuna wale wanaoitwa kuwa ni "unsung heroes". Katika hili nafasi yako na wengine ambao wanabakia nameless haiwezi kwenda bila kutajwa. Tumefika hapa kwa sababu ya orchestrated efforts za watu wengi mno lakini kuna wale ambapo pasipo wao JF isingekuwa jinsi ilivyo. Wewe uko katika kundi la wale ambao hawaishi kuzungumza tu bali wanatenda pia.

Kwa namna ya pekee hatuna budi kutoa recognition ya kutosha kwa vijana watu hawa Max na Mike ambao kwa pamoja walibeba mzigo wa JF na kama kondoo wanapopelekwa kukatwa sufu ndivyo hivyo wao walijikuta wanaandaliwa kuwa kafara ya JF..

Tutabakia daima tukiwiwa nao deni kubwa mno.
 
Yaani wanaijua JF kwa kuwanadi wezi ,ndio maana yake ,na pengine hili jambo la watawala kuchelewesha umeme na kukatakata na kuugawa mafungu na wengine au miji mingine isiweze kabisa kupata umeme na hata minara ya simu huwa haipatiwi umeme kwa utaratibu ndio maana Pemba hakuna mawasiliano ya uhakika.
 
naona mwanakijiji bado anatengeneza pdf ... akimaliza mtushtue tuje tusome... labda na zitto atarudi kundini kama zitto and not otherwise
 
Back
Top Bottom