Ndugu mwanajukwaa mwenzetu unaotumia jina la Lugano 5 zamani ulijiita MBWA,
Nakumbuka siku ya tarehe 22 February 2014 ulikuja kwa mbwembwe hapa jukwaani kuja kutuaga na kuchukua vilio vyetu kupeleka Ikulu kwa Mheshima Rais.
Ulituambia umepangiwa March 5, 2014 ndio siku umeruhusiwa kumuona.
SWALI je mbona kimya hakuna mrejesho wowote wa safari yako hiyo ya ikulu?
Tuliokutuma uliyafikisha?
Subira huvuta kheri
ngoja ngoja yaumiza matumbo
Haraka haraka haina baraka my dia tusubiri tu atarejea
haraka haraka haina barakangoja ngoja yaumiza matumbo
hahaaaa nimeikumbuka hiyo alianzisha na thread kabisa
Uyo @Mbwa ndiyo Gogle alikuwa anatuzingua mimi nilimtambua kutokana na uandishi wake
ngoja ngoja yaumiza matumbo
Mvumilivu hula mbivu