Ilikua ni Mumbai maeneo gani? hata mi nishasumbuka hivyo hivyo huko mumbai, wale jamaa hawazijulii nywele zetuHa ha haaa, ni siku nyingi, nilikomaa hivyo hivyo. Nilikuwa natafuta hair cutting salon maana wengi walikuwa wanakosea kunyoa nywele zetu hizi za waswahili