Nyamayao usicheke bana........Pombe za kuamka nazo mbaya sana......nilitoka nae Ubungo, nikaenda mpaka shekilango, nikaingia sinza, nienda hadi lamada, nikarudi mwenge, nikaenda nikaingia survey, nikenda chuo, nilikuwa nataka nimpitishe njia ya changanyikeni ya porini.......nikastuka anaweza kunifanya mbaya. Nikapaki bank, nikajipeleka kuchua kisu kabisaaa, nikarudi nikakuta wenza ke wamefika, nikatukana sanaaaa!! ndo nikakubali kwenda kituoni. Lakini ni mbaya sana.....dont try this.haaaa umenivunja mbavu jamani....
Kwa sasa YO YO anaandika statement yake na pia wameagiza gari yake ikaguliwe. Naona kuna matumaini sasa huyu police mkubwa 1 kasema tutambue kuwa hajala na tangu saa 4 anamshulikia mhalifu wetu
Kwa sasa YO YO anaandika statement yake na pia wameagiza gari yake ikaguliwe. Naona kuna matumaini sasa huyu police mkubwa 1 kasema tutambue kuwa hajala na tangu saa 4 anamshulikia mhalifu wetu
nimemuona hapa jamvini vipi kashaachiliwa.....Kwa sasa YO YO anaandika statement yake na pia wameagiza gari yake ikaguliwe. Naona kuna matumaini sasa huyu police mkubwa 1 kasema tutambue kuwa hajala na tangu saa 4 anamshulikia mhalifu wetu
Nyamayao usicheke bana........Pombe za kuamka nazo mbaya sana......nilitoka nae Ubungo, nikaenda mpaka shekilango, nikaingia sinza, nienda hadi lamada, nikarudi mwenge, nikaenda nikaingia survey, nikenda chuo, nilikuwa nataka nimpitishe njia ya changanyikeni ya porini.......nikastuka anaweza kunifanya mbaya. Nikapaki bank, nikajipeleka kuchua kisu kabisaaa, nikarudi nikakuta wenza ke wamefika, nikatukana sanaaaa!! ndo nikakubali kwenda kituoni. Lakini ni mbaya sana.....dont try this.
kwa sasa yo yo anaandika statement yake na pia wameagiza gari yake ikaguliwe. Naona kuna matumaini sasa huyu police mkubwa 1 kasema tutambue kuwa hajala na tangu saa 4 anamshulikia mhalifu wetu
nimemuona hapa jamvini vipi kashaachiliwa.....
Nilikuwa sijaonhea na Yo Yo ndio kaachiwa tunapiga story kumbe alikimbia hadi ofisini akajifungia kwa bahati mbaya ofisi yake haiko city center iko mitaa ya kati. Basi wamemchukua mbele ya boss wake kwa sasa anarudi ofisini kumalizana na kesi ya pili ya kuchukuliwa na polisi ndani ya ofisi.
Police mwenye njaa kaimaliza kesi vizuri saana.
hongera sana nguli Mungu akubariki kwa kuMPA YOYO USHIRIKIANONilikuwa sijaonhea na Yo Yo ndio kaachiwa tunapiga story kumbe alikimbia hadi ofisini akajifungia kwa bahati mbaya ofisi yake haiko city center iko mitaa ya kati. Basi wamemchukua mbele ya boss wake kwa sasa anarudi ofisini kumalizana na kesi ya pili ya kuchukuliwa na polisi ndani ya ofisi.
Police mwenye njaa kaimaliza kesi vizuri saana.
acha majungu wewe ,unauhakika gani kama hakuanza kujenga nyumba kwanza?Vijana wa bongo matatizo kweli, hivi kulikuwa na sababu ya kumkimbia askari kweli? Mwacheni ajifunze kuheshimu sheria za usalama barabarani... Eti kagari kake alinunua baada ya kupata ajira duh! Ina maana baada ya kupata ajira tu ameona kitu cha kwanza kufanya ni kununua shinda Mkoko?
hahaha wewe! mpe pole jamani, nilidhani ni mkorofi ki JF 2 kumbe hata kwenye maisha halic....pole sana YO YO ni hii weekend kha.
hata mimi nimemuona kapost post 1138 sasa nashindwa kuelewa na huyu jamaa kaanzisha post 1209 alafu polisi anasema tangia saa nne anamshughulikia kumtoa yoyo alafu yoyo ameshikwa asubuhi
nguli naomba uvumbuzi au wewe ndo yoyo
acha majungu wewe ,unauhakika gani kama hakuanza kujenga nyumba kwanza?
naona umetumia style yya wakubwa wetu :smile-big:Siyo majungu kijana, kama unafahamu YoYo utanielewa nilichokuwa na maanisha, hata hivyo hayo yalikuwa ni maoni yangu tu.
Hii ni Post aliyotuma 1138
wewe umeanzisha post 1209 sasa alishikwa saa ngapi na wewe taarifa ulipata saa ngapi??