nao JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,831 Reaction score 1,941 Jul 30, 2015 #1 Wakuu habari? Naombeni mnipokeee humu ndani baada ya kuwasoma nikiwa nje toka mwaka 2009 nilipoijua Jamii forum naomba kuwa mwanafamilia.
Wakuu habari? Naombeni mnipokeee humu ndani baada ya kuwasoma nikiwa nje toka mwaka 2009 nilipoijua Jamii forum naomba kuwa mwanafamilia.
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Jul 30, 2015 #2 Karibu lakini jiandae unapoingia humu uwe na parecetamu manake jf imeshavamiwa na wagonjwa wa mirembe
Karibu lakini jiandae unapoingia humu uwe na parecetamu manake jf imeshavamiwa na wagonjwa wa mirembe
mdetichia JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 5,292 Reaction score 2,172 Jul 30, 2015 #3 Karibu lakini majungu, fitna , umbea mwisho f.b huku.mwiko utakula bani kwa kwa kwenda mbele
Shobi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 3,401 Reaction score 4,375 Jul 30, 2015 #4 karibu lakn ww ni slowleaner tangu 2009 mpaka leo!
N nyakrere JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 295 Reaction score 83 Jul 30, 2015 #5 Just come with open mind.usije na ushabiki usio na tija
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,530 Reaction score 109,004 Jul 31, 2015 #6 Karibu sana JF...
ibrahimsuleiman New Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Jul 31, 2015 #7 Mirembe wako hum ndan Jamn mm mgen hooodiiii,hodiiii:screwy:
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,678 Jul 31, 2015 #8 karibu sana JF mjukuu wetu.........
nao JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,831 Reaction score 1,941 Jul 31, 2015 Thread starter #9 Asanteni sana kwa kunikaribisha wakuu
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,405 Reaction score 36,113 Aug 9, 2020 #10 Ushakua mwenyeji sasa?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,678 Aug 13, 2020 #11 Zamani kdg.