Member mpya wa kudumu nikaribisheni

Habari zenu wakuu katika jukwaa pendwa la ma-great thinkers la jf naamini mko swalama kulingana na matakwa na kudra za mwenyezi mungu

Kwa majina naitwa #dogo_G mimi ni memba mpya kabisa katika huu mtandaopendwa lakini nimekuwa kama guest kwa takribani miaka mitatu hivi,hivyo sikupenda kujiregister directly kutokana na muda na majukumu makubwa nliyokuwa nayo kwa kipindi hicho ukitofautisha na sasa.

Kiukweli,kama nlivyowaambia mimi nimekuwa guest member humu ni kama nilikuwa memba kamili kwahiyo memba woote nawafahamu katika hili jukwaa ilibaki tu kujiunga.Ninafahamu tabia za kila memba humu kulingana na haiba zao wanazozionesha humu ambapo humu kuna memba wapenda siasa sana,mapenzi sana wengine masuala ya kijeshi(kiaskari),kishirikina na kadharika lakini yote katika yote nilikuwa naelimika na hata kuna muda najikuta nacheka peke yangu kutokana na comment za wadau viceversa na jinsi haiba za avatar zao zinavyoonesha.

Kuna mdau mmoja humu aliwahi kusema jf unaweza kukuta mdogo akimchimba biti mkubwa wake au baba yake pasipo kujuana na baba akasema Am sorry pasipo kujua(so funny).Lakini mwisho wa siku tunaelimishana na kikubwa jf kuna burudani za kutoosha sana,ama hakika ni THE HOME OF GREAT THINKERS.kuna members wengi nimewasoma sana nikiwa kama guests kama GUDUME,KASIE MAHABA,MISS NATAFUTA,MISS CHAGGA,THE BOLD(na Couple wake japo now simuoni),STUNTER(kijana niliemuelewa sana japo now simuoni),MSHANA JUNIOR(mtata),MZIZI MKAVU,NYANI NGABU,DABY,GENTAMYCINE,INFANTRY SOLDIER,666 kama funny guys.Yote kwa yote MNIPOKEE.

Ndimi #dogo_G new member
View attachment 804061

Sioni avatar unayotumia ila huyu kaka uliyomuweka hapo mwisho nampenda ila so kimahaba japo ni mdogo kwangu.

Mie ni mbishi sana kusadiki kitu, naomba uniambie kwa miaka hiyo 3, Kasie umemuonaje? Ukiambiwa umuelezee unamuelezeaje?

Kisha ndo nikukaribishe
 
Sioni avatar unayotumia ila huyu kaka uliyomuweka hapo mwisho nampenda ila so kimahaba japo ni mdogo kwangu.

Mie ni mbishi sana kusadiki kitu, naomba uniambie kwa miaka hiyo 3, Kasie umemuonaje? Ukiambiwa umuelezee unamuelezeaje?

Kisha ndo nikukaribishe
Nakupata vyema sana madame,sifa yako kubwa unapenda sana kwichikwichi
 
Back
Top Bottom