member kuwa na id nyingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

member kuwa na id nyingi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by rosemarie, Jul 14, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  naomba tusiwe na id nyingi kwa sababu tunaharibu hali halisis hapa ndani,
  mods juz tumeongea kuhusu microsoft kununua baadhi ya web;socializing sehemu mbalimbali
  member wenu wakiwa na id nyingi inakuwa kama tupo wengi kumbe sio,
  kila nikisoma post mbalimbali naona kuna aina fulani ya watu walewale,
  naomba tupige hatua moja ya kujijua!!
  tahadhari chukua hatua!
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  aiseee.. mi nimependa signature yako bana, imetulia mno

  hilo la ids nyingi ni ngumu mno kulizuia ila hata mimi linanikwaza
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ssamora kuwa mkweli,una id ngapi?
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wenye ID nyingi hawajiamini.
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  aisee mi nina moja tu.. sihitaji ya pili.. what for?
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  teheee teheeee
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mpaka mods waache kunipiga maban kwa kuiangalia avatar yangu wkt kuna watu huwa wanafanya mambo ya ajabu lkn hawapigwi ban, hapa nina siku 3 tu kutoka jela
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  ID moja itawezekana tu kama Mods wataacha uonevu, na pia kama watakuwa wanazipeleka kwenye trash thread zote za kipumbavu na comment zote za kijinga na kulifuta kabisa jukwaa la dini na kuzidelete immidiately thread zote za kichochezi za kidini n:k.
   
 9. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  2 za nini wakati hata hii moja inanishinda.
  Hao wenye zaidi ya 1 wameajiriwa kwa kazi ya kujaza post hapa jf?
   
 10. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  sijawahi pitia jukwaa la dini,nahisi mambo ya ID nyingi yanaanzia huko,hebu nikaone kilichomo
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  uwezi kuingia mpaka uPM Invisiible ndio akupe access.
   
 12. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Basi... Bora imekua ngumu kuaccess,maana dini yenyewe siijui vizuri ntaenda kujichanganya tu.Sijajua la mtu wa kwanza Adam au nyani nikiingia huko si ntajikoroga zaidi!Hebu nirudi nilikokuzoea,free kwa ID 1 tu.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Kule hapakufahi panawafaa zaidi mafundamentalist wa kidini au wafia dini, lakini kama ni mtu moderate wala hakuna mpango wowote mimi nina access lakini laliskip hilo jukwaa.
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mawazo yangu kwa mods,
  kama member amekosea apewe warning!!!na hizi warning ziwe tatu ndio ifikie hatua ya kumpiga ban!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wenye ID moja ni janga la JF! Hawana uwezo wa kuwa majasili! Free will inafanya Maisha yawe kwenye mwanga bora! I love multiples
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Ceteri palibus. umenena vyema.
   
Loading...