alikuwa amelalamika humu kuwa nyuzi zake zinafutwa. Sasa ameweka uzi wa Mangekimabi umefutwa.mmmh! Mlangila sasa kama zinafutwa wewe umezionaje? au ukiona muda huo huo zinafutwa? enewei labda zinakinzana na sera na taratibu za JF (tarairota Mlangila wange)