Asante ndugu yangu kwa compliment..NimefarijikaJf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.
2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY, eron, Extrovert, Evelyn Salt, @Toyeye, Kalpana, Joanah, mzabzab & nk...
3. CRITICAL THINKING
Kiranga.
4.MAARIFA YA ZIADA
Mshana Jr, DR Mambo Jambo.
5.MEDANI ZA KIVITA
T14 Armata.
6. HISTORIA & SIASA ZA KIMATAIFA
MALCOM LUMUMBA, zitto junior.
7. KUSAMBAZA LIKE
raraa reree, min -me.
8.BUSARA & HEKIMA
Aaliyyah, Manyanza, Grahams, Carleen, Kelsea, Etugrul Bey,financial services.
9. SIMULIZI
@OMUGHAKA, Analyse.
10. UPENDO
Smart911 & Mahondaw.
Nawe wataje, member walokuinspire ktk jambo fulani.
Apumzike kwa amani claassmate wako tuna mmiss kwenye hicho kitengoR.i.P Classmate Warumi...😥
Amen...🙏Apumzike kwa amani claassmate wako tuna mmiss kwenye hicho kitengo
Mbona ghafla sana?Yanga ameshinda
Vikosi vya Urusi vipo vinakimbia uko Syria. Kutoka Allepo jana, leo jioni wamekimbia Hama kuelekea Homs na Hmeimim.Kweni medani za vita, mtoe kabisa huyo T14 Armata maana jamaa haishi kuiponda Urusi. Sidhani kama ni mfano mzuri wa kuigwa katika ulimwengu wa sasa wa multipolar. 🙂
Kuwa kwenye payroll ya Biden na Kamala isitumike kama msumari wa kuwachocha watu wengine.
Kigezo ni madini yake, suala la ushabiki wake ni jambo binafsi.Kweni medani za vita, mtoe kabisa huyo T14 Armata maana jamaa haishi kuiponda Urusi. Sidhani kama ni mfano mzuri wa kuigwa katika ulimwengu wa sasa wa multipolar. 🙂
Kuwa kwenye payroll ya Biden na Kamala isitumike kama msumari wa kuwachocha watu wengine.
Pamoja mkuu, madini yako yamekua msaada mkubwa sana kwa wengi.Asante ndugu yangu kwa compliment..Nimefarijika