Member from Mwanza

Member from Mwanza

Smarter

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
528
Reaction score
115
Great Thinkers, natafuta mwenyeji mwanza. I am here for few days.
 
Judgement yupo...mwambie akupeleke Villa ijumaa
 
nimefikia Peace Hotel. Now naenda kutafuta samaki choma, naambiwa vila kuna samaki, wapatikana wapii?
Dah Villa wapo...pia hata Kirumba resort wanapatikana tena bomba sana
 
Great Thinkers, natafuta mwenyeji mwanza. I am here for few days.

Mkuu kwanza pata karibu warmly!
Kama ulivyogusiwa ni sahihi kabisa, mie niko Rock ciry! Bt rite now nimechepuka kiduchu katika utafutaji wa daily bread.
Niko Sirari boder, bt keshokutwa wednesday nitakua nishafika Mwz, utakuwepo? Napenda sana wageni wa Jf.
 
Dah kijana umenikumbusha mapanga shaaaaa
Ukiwa unarudi Mwanza ulifika njia panda ya Tarime naomba unichukulie ndizi na karanga za kuchemsha...sawa mume wa Husninyo...
 
ha ha ha, ujue tayari nina mme
afu sijui kanitia limbwata siku hizi?

Nimeanza kumpenda kwa kasi kweli, kama limbwata ni tamu hivi bora aliongeze aisee ili niwe zezeta wa mapenzi zaidi lol

We kaa hukohuko hadi upate mchumba
 
Ngoja nitafute
ujue fisi sasa hivi wameadimika kweli, hii environment conservation inahusisha hadi fisi eti.

Mama Masanja sijui ana mpango wa kutoka leo, ngoja nikamwazime.

tumia usafiri asili utafika tu..
 
ha ha ha, ujue tayari nina mme
afu sijui kanitia limbwata siku hizi?

Nimeanza kumpenda kwa kasi kweli, kama limbwata ni tamu hivi bora aliongeze aisee ili niwe zezeta wa mapenzi zaidi lol

Hahahahahahaaaa limbwata ikiwekwa kupitia maziwa ya mgando huchomoki kabisa
 
Back
Top Bottom