The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,048
- 307
Nimesoma magazeti ya leo, na kuona bwana mkubwa unavyotishia nyau, kwamba liwalo na liwe utapata ushindi wa kishindo katika nec ijayo
Sikushangaa sana lakini nilishtushwa na tambo zako ambazo kiukweli zinaweza kukutokea puani muda si mrefu na ukawa mpole kama lile Tingatinga la mtera, kumbuka Pedeshee Sumaye na ukwasi wake wote aliishia kulalama kama jibwa koko...mkumbuke Mama makelele na kiherere mwenyeji wa upareni aliishia kufyata kimya na mpaka wa leo haamini kilichotokea
Membe kushinda NEC iliyopita isikufanye uamini wewe ni kidume, kumbuka ccm ina wenyewe ambamo wewe haupo.
Ngoja nikukumbushe kitu bro
. Bunge la 2005-2010 lilipokaribia ukingoni Bw. Sita, alijigamba, alijiaminisha kwamba atachaguliwa tena bunge la 2010-2015, matokeo yake unayakumbuka aliishia kulialia, kupiga magoti na kuomba msamaha, maana hata kadi ya chama ilikuwa ndo inaondoka, mwishowe wenye chama walikutana Msoga wakachinja ngamia na kunywa bia baada ya kumkomesha.
. Bunge hilohilo alitokea Bw. Malecela, akajitapa mbelembele kwamba atahakikisha Sita anapita, matokeo yake hata yeye mwenyewe hakupita tuu kwenye kura za maoni
Nakutakia mafanikio bro, hivyo siamini kama kuwatambia watesi wako ni njia ya kuwashinda, zaidi ni njia ya kuwaamsha na kuwakumbusha kufanya lolote wawezalo ili usipite, kama vijiji vilihongwa mpaka Nagu akapita itakuwa hiyo Nec ambamo wenye njaa ni wengi kupindukia na wote si wasafi.
Membe hana ushahidi wowote maana yeye mwenyewe ni muhusika, Wenye pesa Uswis ni rafiki zake na ndo wanaomsapoti
Angekuwa ni msafi yeye kama waziri wa mambo ya nje angekuwa wa kwanza kuomba tume huru..
By the way natamani mumpitishe Membe ili CDM ishinde kwa urahisi
Front Man wake Zitto Kabwe ndio mgombea mwenza wake. Naye atuelezee hela alizonazo Uswiss. Serikali inashindwa kutulipa wao wanaota ndoto za Urais?
Mme wako kibamia chake kimeamka kweli
Yesu wangu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mme wako kibamia chake kimeamka kweli
Nimesoma magazeti ya leo, na kuona bwana mkubwa unavyotishia nyau, kwamba liwalo na liwe utapata ushindi wa kishindo katika nec ijayo
Sikushangaa sana lakini nilishtushwa na tambo zako ambazo kiukweli zinaweza kukutokea puani muda si mrefu na ukawa mpole kama lile Tingatinga la mtera, kumbuka Pedeshee Sumaye na ukwasi wake wote aliishia kulalama kama jibwa koko...mkumbuke Mama makelele na kiherere mwenyeji wa upareni aliishia kufyata kimya na mpaka wa leo haamini kilichotokea
Membe kushinda NEC iliyopita isikufanye uamini wewe ni kidume, kumbuka ccm ina wenyewe ambamo wewe haupo.
Ngoja nikukumbushe kitu bro
. Bunge la 2005-2010 lilipokaribia ukingoni Bw. Sita, alijigamba, alijiaminisha kwamba atachaguliwa tena bunge la 2010-2015, matokeo yake unayakumbuka aliishia kulialia, kupiga magoti na kuomba msamaha, maana hata kadi ya chama ilikuwa ndo inaondoka, mwishowe wenye chama walikutana Msoga wakachinja ngamia na kunywa bia baada ya kumkomesha.
. Bunge hilohilo alitokea Bw. Malecela, akajitapa mbelembele kwamba atahakikisha Sita anapita, matokeo yake hata yeye mwenyewe hakupita tuu kwenye kura za maoni
Nakutakia mafanikio bro, hivyo siamini kama kuwatambia watesi wako ni njia ya kuwashinda, zaidi ni njia ya kuwaamsha na kuwakumbusha kufanya lolote wawezalo ili usipite, kama vijiji vilihongwa mpaka Nagu akapita itakuwa hiyo Nec ambamo wenye njaa ni wengi kupindukia na wote si wasafi.
Acha kutisha watu hapa. Hizo siasa za pesa nane unadhani ndizo zitafua dafu kila wakati? Ukitaka kujua watu ni wajinga hizi ndizo dalili zake. Wanadhani watanunua kila mtu na kumlisha sumu kana kwamba wao hawawajui viongozi wao, matokeo yake wanaaibika kwa hao hao wanaowahonga kuungama na kuahidi kumpigia kura tena nyingi sana.
Hili ni dhihirisho kwamba hawa wenye siasa za hila na ghilba ndiyo wanokinyausha chama na taswira yake kwa wananchi. Wakati wao wa kuumbuka ndiyo huu.
ktk uchaguzi kuna matokeo yaAcha kutisha watu hapa. Hizo siasa za pesa nane unadhani ndizo zitafua dafu kila wakati? Ukitaka kujua watu ni wajinga hizi ndizo dalili zake. Wanadhani watanunua kila mtu na kumlisha sumu kana kwamba wao hawawajui viongozi wao, matokeo yake wanaaibika kwa hao hao wanaowahonga kuungama na kuahidi kumpigia kura tena nyingi sana.
Hili ni dhihirisho kwamba hawa wenye siasa za hila na ghilba ndiyo wanokinyausha chama na taswira yake kwa wananchi. Wakati wao wa kuumbuka ndiyo huu.
nimesoma magazeti ya leo, na kuona bwana mkubwa unavyotishia nyau, kwamba liwalo na liwe utapata ushindi wa kishindo katika nec ijayo
sikushangaa sana lakini nilishtushwa na tambo zako ambazo kiukweli zinaweza kukutokea puani muda si mrefu na ukawa mpole kama lile tingatinga la mtera, kumbuka pedeshee sumaye na ukwasi wake wote aliishia kulalama kama jibwa koko...mkumbuke mama makelele na kiherere mwenyeji wa upareni aliishia kufyata kimya na mpaka wa leo haamini kilichotokea
membe kushinda nec iliyopita isikufanye uamini wewe ni kidume, kumbuka ccm ina wenyewe ambamo wewe haupo.
ngoja nikukumbushe kitu bro
. Bunge la 2005-2010 lilipokaribia ukingoni bw. Sita, alijigamba, alijiaminisha kwamba atachaguliwa tena bunge la 2010-2015, matokeo yake unayakumbuka aliishia kulialia, kupiga magoti na kuomba msamaha, maana hata kadi ya chama ilikuwa ndo inaondoka, mwishowe wenye chama walikutana msoga wakachinja ngamia na kunywa bia baada ya kumkomesha.
. Bunge hilohilo alitokea bw. Malecela, akajitapa mbelembele kwamba atahakikisha sita anapita, matokeo yake hata yeye mwenyewe hakupita tuu kwenye kura za maoni
nakutakia mafanikio bro, hivyo siamini kama kuwatambia watesi wako ni njia ya kuwashinda, zaidi ni njia ya kuwaamsha na kuwakumbusha kufanya lolote wawezalo ili usipite, kama vijiji vilihongwa mpaka nagu akapita itakuwa hiyo nec ambamo wenye njaa ni wengi kupindukia na wote si wasafi.
kama membe ana ndoto za urais basi ccm imekosa candidates kabisa
jimbo dogo la mtama linamshinda sembuse nchi??
Myao ana tambo sana huyu
Nimesoma magazeti ya leo, na kuona bwana mkubwa unavyotishia nyau, kwamba liwalo na liwe utapata ushindi wa kishindo katika nec ijayo
Sikushangaa sana lakini nilishtushwa na tambo zako ambazo kiukweli zinaweza kukutokea puani muda si mrefu na ukawa mpole kama lile Tingatinga la mtera, kumbuka Pedeshee Sumaye na ukwasi wake wote aliishia kulalama kama jibwa koko...mkumbuke Mama makelele na kiherere mwenyeji wa upareni aliishia kufyata kimya na mpaka wa leo haamini kilichotokea
Membe kushinda NEC iliyopita isikufanye uamini wewe ni kidume, kumbuka ccm ina wenyewe ambamo wewe haupo.
Ngoja nikukumbushe kitu bro
. Bunge la 2005-2010 lilipokaribia ukingoni Bw. Sita, alijigamba, alijiaminisha kwamba atachaguliwa tena bunge la 2010-2015, matokeo yake unayakumbuka aliishia kulialia, kupiga magoti na kuomba msamaha, maana hata kadi ya chama ilikuwa ndo inaondoka, mwishowe wenye chama walikutana Msoga wakachinja ngamia na kunywa bia baada ya kumkomesha.
. Bunge hilohilo alitokea Bw. Malecela, akajitapa mbelembele kwamba atahakikisha Sita anapita, matokeo yake hata yeye mwenyewe hakupita tuu kwenye kura za maoni
Nakutakia mafanikio bro, hivyo siamini kama kuwatambia watesi wako ni njia ya kuwashinda, zaidi ni njia ya kuwaamsha na kuwakumbusha kufanya lolote wawezalo ili usipite, kama vijiji vilihongwa mpaka Nagu akapita itakuwa hiyo Nec ambamo wenye njaa ni wengi kupindukia na wote si wasafi.
looked at this guess work today it seems your intuitions proved you wrong! Next time your guess should be backed and based on statistical probabilities rather than intuitions.