Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,230
- 138,742
Chanzo cha taarifa hii?Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Muache Rais atekeleze majukumu yake kama kumshauri sio kupitia vyombo vya habari omba appointment na Mh Rais akikubali nenda mkajenge nchi, kutoa ushauri kama akiukubali hewala akikataa basi tulia mzee,Mh atekeleze vission zake kwa kufuata mwongozo Ushauri usitumie vyombo vya habari kwa hilo mapumziko mema MstaafuAliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Kwani kuna kipi cha ajabu hapa,Membe hakuongelea suala la uchaguzi Zanzibar?Type chanzo cha taarifa yako.nimeanza kukushtukia
Wengi wanamkumbuka lakini si kwa memaMwambieni basi amtaje mtanzania hata mmoja atakayemkumbuka rais mstaafu! Ninachokiona hapa, hili nalo limeiva tena dokta kalichelewesha mno.