Membe ni dini gani? Anaweza vipi kumpinga Cardinal Pengo au Askofu Malasusa?

Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.

Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio klia kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.

Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or something.
Umeanza ujinga?Hebu tulia yule mdomo chuchunge alipe kwa ujinga wake.
 
Anayeweza kuwasikiliza hao maaskofu wa kanisa katoliki ni muumini wa kweli wa kanisa katoliki; membe siyo muumini wa kweli wa kikatoliki, kwa hiyo hawezi kuwasikiliza viongozi wa hiyo dini. Membe asivyokuwa mtu wa imani anaweza kumbishia hata Yesu mwenyewe. Acha kucheza na ibilisi wewe.
 
Vatican yenyewe iliona aibu ikamvua uaskofu mkuu wa jimbo la Dar es Salaam
 
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.

Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio klia kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.

Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or something.
Hata Yule Pastor Mackenzie wa Kenya aliyewafungisha watu kula Mpaka Kufa ni Kiongozi wa dini
 
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.

Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio klia kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.

Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or someth

Huyo Pengo mwenyewe akiwa askofu mkuu wa Dar es Salaam amefukuza mapadre wangapi mbona hakuwasamehe?
Hatari sana
 
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.

Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio klia kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.

Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or something.
Wanasiasa na hao viongozi na wao Ni binadamu Wana madhambi Kama ya kwako,wanachepuka wanapata wivu,huyo kardinali wako anatembelea gari la zaidi labda 200M huku Kuna watu hawana uhakika wa mlo mmoja kwa siku.
Membe alisema kuwa alimwambia musiba amuombe msamaha Mara tatu Ila akashupaza shingo why saivi atumie huruma za viongozi wa dini.
Mbona enzi hizo hawakutumiaga kumuonya membe
 
Huu ni upuuzi, lipa hela wewe Musiba kama vipi tafuta genge lako wakuchangie kibubu. Who is Cardinal Pengo sijui Askofu Malasusa, kama vipi waambie wamsamehe Musiba wao wenyewe. Kosa afanyiwe mwingine msamaha atoe mwingine
Leo wanamtaka eti membe asamehe wakati heshima yake inavunjwa utu wake unazalilishwa mbona hawakumsii musiba asiyafanye hayo au hao ndio walikuaa wanamtuma kuyafanya yale. Hakuna cha kusamehe hii iwe fundisho kwa wengine kama yeye
 
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.

Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio klia kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.

Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or something.
Crap
 
Sina hakika kama asharudi!!!!
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    14.5 KB · Views: 4
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake. Kupingana na Superstar Preacher kama Cardinal Pengo, au kupingana na Askofu Malasusa, kwa mwanasiasa ambaye baadaye anataka kwenda kwenye kampeni, this is unthinkable.

Kwa muumini wa dini, Kiongozi wa Dini ndio klia kitu kwake. Itadhoofisha imani ya watu wengine wakiona wanasiasa wa CCM hawawaheshimu viongozi wa dini.

Halafu Membe katika CV inaonyesha alikuwa mseminari or something.
Yatupasa kusamee mara 70, LAKINI YAPO YA KUFUNDISHANA HESHIMA NA TABIA NJEMA, KUHESHIMU WENGINE PAMOJA NA KUTODHALILISHA WENGINE,UKASAMEE DHAMBI ZA AINA HII ZITAENDELEA KUJIRUDIA RUDIA.
 
Hao uliowataja ni akina nani haswa linapofika maamuzi ya mtu binafsi? Walikuwa wapi kumuonya huyo msiba wakati anaporomosha matusi hawakuwepo?? Sasa kwanini Leo inaonekana ni muhimu wao kusikilizwa? Hayo ni mambo binafsi acheni membe amalizane na mteja wake sisi wengine hayatuhusu, na huu unafiki haupaswi kuwepo, huyo msiba si anapafahamu kwa membe au anajua namna ya kumpata, kama alivyoanza alimalize, mwanakulifaindi mwanakuligeti
 
Back
Top Bottom