Membe na Kikwete ni ndugu

Status
Not open for further replies.
WAKUU vipi kuhusu na huyu mmiliki wa kiwanda cha kusindika maziwa iringa ASAS!!!!kuna chini ya kapeti mkuu wa kaya jk kaoa kabinti kake??
 
Hivi kura za maoni zinaanza lini huko kwenu wenzetu. Kwani haya ndo mnayajua leo????
 
Hivi Mwanaasha ameshachumbiwa...!??? naanza kuna maisha katika mwanga bora, ngoja hizi mvi nikapake ile vijana wanaita supu blaki
 

Sijui kama unayosema kuhusu Jaji Mkuu ni sahihi. Kwa sababu sir name yake ni Chande,yeye ni Mohamed Chande, Othman SIYO jina lake. Othman ni jina la kaka yake.


There is something you must know-everything the government does is a legal action. But it may not be a lawful action.However,it will be presumed to be a lawful action unless it is timely and specifically objected to.
 

RaiaMbishi ... Mh! ... sasa ndo umeamua kumwaga kila kitu? ... ingawa kuna ukweli katika uliyoaandika nafikiri unawataja kwa majina wengine ambao hata hawahusiki na day to day activities za walengwa ... anyway ... ila Said siyo Mk.were

By the way, huu uzi huko unakoelekea! ... sijui .. ngoja tuone mwisho wake ...
 
Ndio maana kuna wakati Membe alitamba kwamba akijiuzuru hatuwezi kupata waziri mwingine kama yeye!!!
 
sioni tabu iwapo wana qualifications na uteuzi wao ulizingatia taratibu.
"ndugu lawama'' ni tatizo kubwa nchini.
 
Sasa Jk atampendekeza nani kugombea urais kwa ticket ya ccm kati ya Lowasa na Membe? Maana na Lowasa anatamba pia kwamba hawajakutana na JK barabarani!!!!
 
Huu uzi umekaa kimbeya zaidi, inabidi kuchungulia kwa mbali na kusepa.!
 
Ahsanteni sana...ati pia kuna tetesi wana undugu na huyu bwana ana jinaa timu ya taifa ya kina e'too?
 

Ama wewe umezidi uwongo tena kweupeeeee!

Au kila mwenye jina la Mrisho ndiyo amekuwa ndugu wa Kikwete? Unawafahamu Amina Mrisho na Fatma Mrisho? Au tena ndiyo umewaongezea na hiyo surname ya Kikwete ili ujenge hoja?

Jamani kila aliye na surname ya Mushi, au Mwakibete au whatever ndiyo wanakuwa ndugu?

Wacheni uongo na kujenga hoja zisizokuwa na msingi.
 
Familia nyingine nuksi tupu, ukioa tarajia mitoto yenye ufaulu wa divisheni fooo

Wewe mwenyewe umepata division ngapi, na hao wanao wamepata ngapi, au ndiyo unasema wenzako kwa kuwa hatukufahamu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…