Bila mashaka, hawa ni ndugu,
kwa faida nikutajie wachache wengine waliopewa nafasi na jkccm kwa sababu za undugu
jaji mkuu chande othman ni binamu yake pamoja na mdogo wake rashid othman ambaye ni mkuu wa idara ya usalama wa taifa.
Waziri wa elimu dk shukuru kawambwa naye ni mjomba na jkccm
mkuu wa polisi igp said mwema ni shemeji na jkccm kwani mwema amemwoa dada wa jkccm hajati amina mrisho ambaye alikuwa mkuu wa mkoa wa iringa na baadae pwani na sasa amestaafu, lakini pia dk fatuma mrisho kikwete ambaaye alikuwa mkurugenzi wa tume ya ukimwi tacaids na baadaye akapewa kuwa mkurugenzi wa sensa 2012 ni dada wa jkccm gamba. Na wengine kibao
Mbunge wa kuteuliwa Zakia Megji je?
haka kathread ni kazuri mno...ngoja tuone mwisho wake...kwa ufupi tu hata mimi jk ni ndugu yangu nimemwoa dada yake anayezaliwa na dnamu yake yule ambaye wanachangia bibi upande wa ujombani kwa yule bibi aliye wahi kuolewa na kaka yake mama yake jk wa kufikiwa ambaye aliachika....
Kalagabao...., Si mbaya kuwanyanyua ndugu zake kama kweli wanafanya kazi vizuri. Siku akitoka nao watatoka.
Niongeze hapo mkuu wa wilaya ya muheza tanga pia mbunge wa kuteuliwa vyeo viwili kwa mpigo mi mdada flan hv huyu,nduguze mkuu wa kaya.
Kikwete oyeeee, na mimi naomba undugu kwenye ukoo wenu
Ha ha ha ha ha ha ha ha naambiwa ni mkwe wake.