Membe na chench ya rada leo utaiweka wapi sura yako?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Akitetea chench ya rada isitumiwe ma mashirika ya uingereza bernad membe alisema hela ni za watanzania na serikali atazichukua na kununua vitabu leo si kununua vitabu tu bali imekuwa balaa zaidi ni kuwa zinatumika kuua elimu yetu.bord zisingerudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom