Membe kuwania urais 2015...

Bernard Membe
Nafasi: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Jimbo la Ubunge: Mtama
Kuzaliwa: 9 Novemba 1953
Nafasi nyingine alizowahi kushika:
Waziri: Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (2007- 2010)
Naibu Waziri: Nishati na Madini (2006 - 2007) na Mambo ya Ndani (Januari 2006 – Oktoba 2006)

Historia ya Ajira
1992 - 2000 Mshauri katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ofisi ya Rais – Mchambuzi wa masuala ya ulinzi na usalama
Elimu:
Shahada ya Uzamili ya Uhusiano wa Kimataifa – Chuo Kikuu cha dar es Salaam (1981-1984)
Shahada ya kwanza (BA) (1977 - 1990)
 
Hakuna mtu asiye na madhaifu. Kwa wote wanaotajwa tajwa, Membe is the best choice.

Tena hakuna udhaifu mkubwa kama ule wa kukosa uadilifu na kudhani kwamba kwako wewe nchi ni familia yako na marafiki zako. Kuna watu hapa wanakalia mabilioni lakini majimboni kwao watu wanakufa kwa kiu na njaa na hata kupewa msaada wa mifugo, lakini wanaona ni bora kutumia mamia ya mamilioni kuhujumu watu wengine kwenye majimbo yao na hata kwenye utendaji wao wa kazi. Narudia kauli yangu ya awali: WE MAY NOT KNOW WHO WILL BE THE NEXT PRESIDENT, BUT WE KNOW WHO WILL NOT BE - IT IS EDWARD NGOYAI LOWASSA!
 

mbona unaji-contradict kwenye sentensi ya mwisho?
 
Mhe Membe will make the best President in 2015 if he decides to run for the post.
Edo's team ndio wanaendesha smear campaign against hon Membe coz anajua ndie mpinzani wake mkuu ndani ya CCM na worse enough the guy is CLEAN
 
Sisi na ile 'presidential exploratory team' tutamtazama kabla ya kuamua kama anastahili kupata kura za kundi letu ama la!

Wewe jamaa yangu siasa unayoifanya inachekesha sana. Kila mtu anajua leo ukiitisha kura za maoni Bashe anaweza kugawanya kura zake mara tano ndio upate zako 25:5. Lakini haujishughulishi na hilo kutwa kudandia makundi ndani ya chama. Wote unao wafuata wana uhakika wa kushinda ubunge hata kwa kutuma SMS wewe hali yako tete, jenga kwanza nyumba yako dogo.
 

Yako ipo salama ? ?!

KAULI iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwamba hakuna ushahidi wa kuwashtaki watuhumiwa rushwa ya rada, inaonekana kumfunga mdomo Waziri wake wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambaye aliwahi kuahidi kwamba angewataja watuhumiwa hao.
JK alimfunga mdomo Membe sakata la rada
 

mkuu hata ww kama vipi tangaza nia.. Siku hizi hakuna urais badala yake jk kaibadili taasisi hiyo na kuwa URAHISI.
 
Aliweka bayana wabaya wake ni watu wa aina gani? Kama ni mafisadi sioni ubaya wa matamshi yake.

Matamshi yake si mazuri kama unataka kuwa a leader, kwavile you want to eliminate opposition and remain with only YES SIR na few kiss ****

Unapokuwa kiongozi, jiandae kupendwa na kutokupendwa, maadui na marafiki, wakosoaji na wasifiaji itakusaidia kukua na kufanya kazi kwa uadilifu

Mambo ya kufukuza maadui ni ya kizamani sana enzi za one party...kama Membe anayo mpaka sasa basi HATUFAI !
 
Kigwangalla, huko CCM kuna makundi mangapi mpaka sasa na ni yapi hebu tujuze kidogo
 

Membe ni kiongozi mzuri ambaye anaonekana ana misimamo yake isiyoyumba na wala hana masihara kama boss wake. Membe hana tamaa ya mali (angalau mpaka sasa hatujui akiwa bwana mkubwa atakuaje)
Katika wizara za kijinga hapa Tz ni Foreign kwa sababu kiongozi hawezi kupimika kabisa ufanisi wake ndani ya wizara hii...alichofanya Membe ni kuondoa wale wababaishaji pale foreign na nepotism imeshuka sana.

Tatizo kubwa la Membe hana uzoefu wa muda mrefu kama waziri (ukimlinganisha na Mwandosya, Sitta, Lowassa, Magufuli etc) na hapa tunapata taabu kumjaji uwezo wake kikamilifu na kama ni mtu mwenye dira ya kimaendeleo au mwanasiasa tu na hii kua karibu na dhaifu inampunguzia point nyingi kwa wapiga kura makini. Kumbuka kura ya 2015 itakua very much anti-Kikwete hata kwa wana CCM. hatutakai tena Madhaifu kuongoza chama na serikali. Membe inabidi ajipambanue zaidi na hili la kua karibu na Rais alifeli kabisa.
 
Mna protea muda wenu' membe hawi Rais labda apitie Chadema
 
ahsante kwa ushauri wako adhimu. nitajitahidi kuufanyia kazi
 
Yaani Huyu Mjahidina akipewa nafasi ya kugombea uraisi, hii nchi itaingia katika UDINI rasmi. jamaa ni mdini sana ila anafanya kampeni zake behand, mbele za watu anaonekana tofauti na what he is.

Ni bora hii nchio iongozwe na shetani mwenyewe lakini si huyu bwana, ni mdini, mbinafsi, mtu wa visasi, muongo, muoga, mnafiki, mkurupukaji bila kufikiri,
 
Jamani kwa msiojua gazeti lililoandika taarifa hii ni la Hussein Bashe ambaye siku za hivi karibuni amekuwa kibaraka wa Rostam Aziz. Huyo Hussein Bashe anajua kilichomtokea kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana na ndo maana akaona usomali wake aphauna dili. Sasa hivi gazeti la Mtanzania ambalo yeye ndo Chief Executive ndo linaongoza kwa kumwandika membe Vibaya.

Ningekuwa na uwezo ningekwenda kumuotesha membe atangaze tu maana kwangu amekuna na mambo makuu matatu

Moja alitaka pesa za radar zirudi zikarudi na wala hakupongezwa na mtu yoyote badala ya yake Wabunge bila aibu wakawa wanatataka pesa hizo ziende kwenye majimbo yao.

La pili alisema wamalwi lazi wawatoe watafiti wa mafuta na gezi kwenye ziwa Nyasa jamaa wametii amri.

La mwisho he is on record kwamba waliotufikisha pabaya kwenye suala la radar wawajibishwe. Chikawe maskini ni mzee kwa hiyo he has nothing to loosi. Kakaa kutetea mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…