Membe: Kuna CCM Mpya na CCM ya Zamani

Si busara kumsema babako kuwa hakukufanyia chochote kisa hajakusomesha wakati umezaliwa na kukulia ndani ya nyumba yake hadi umefikia umri wa kufukuzia madem.
 

Ingoma inogile!
 
Membe siaende Nccr au cuf

Huu mchezo mchafu wa ccm tushausoma vizuri. In and out.
 
Hili ni somo kwa Mwigulu Nchemba japo jina ni la kufoji
 
Kila zama na kitabu chake! Huyu mzee angetulia tu acheze na wajukuu! Kala mema ya nchi, kashiriki kikamilifu kujenga mifumo ya kifisadi, tumepeta jembe la kurekebisha, makalio yake membe yanalia mbwata mbwata. JPM 4 change
 
Ameshavuruga vyama vingapi?
hii ni nchi ya wendawazimu, mimi sielewi shida ya Maembe, hana kosa lolote na kafukuzwa kwenye chama kimakosa na kweli kaonewa!!! na waliomuonea will pay back one day!!

Mi sioni kosa la Maembe kama chama chenyewe kimeweka ruhusa mwanachama yoyote kugombea sambamba na Rais kupata ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge!! Maembe is like me, an opportunist , kaona fursa ya kuvamia Urais ipo akaangalia umri wake unasonga akatangaza nia tu basi akawa AN ENEMY OF THE PEOPLE! kwa kosa lipi?!

Maembe lives in modernity and he think differently and kisasa zaidi , si katika wale wahafidhina wanaosema tumeamua nyeupe iitwe nyeusi unawaambia lakini hii ni nyeupe wanasema you must follow what we tell you!!! mi namtakia Maembe kila la kheri kwenye mbio zake, ni vizuri sasa achukue haraka chama kimoja agombee Urais kisha akishindwa ajijenge kwa nguvu for five years labda baada ya hapo if Allah is in his side anaweza kushinda!
 
Si busara kumsema babako kuwa hakukufanyia chochote kisa hajakusomesha wakati umezaliwa na kukulia ndani ya nyumba yake hadi umefikia umri wa kufukuzia madem.
Yeye Membe ndo anasema! wastaafu wote jpm anashirikiana nao kwa karibu: Soon Membe atapelekwa milembe, sio kwa kuchanganyikiwa huko
 
Yeye Membe ndo anasema! wastaafu wote jpm anashirikiana nao kwa karibu: Soon Membe atapelekwa milembe, sio kwa kuchanganyikiwa huko
Kama unamhate vile!
Kafanya baya lipi kwani, mbona akili yake ipo intact kabisa!
 
Hiyo CCM ya zamani iliyoruhusu Rais "a-chalenjiwe" kwenye kuutaka mhula wake wa pili ni ya awamu ipi?
 
Kwahio Dola ndio Wanachama wa CCM?? Ndio CCM inayopendwa hii??
 
He he he bila shaka CCM mpya ndio ile ya wahamiaji haramu ambao kwa mshangao wa CCM waenyeji wahamiaji ndio wamehodhi madaraka.
 
Juzi makonda kajenga maofisi ya ccm na kawakabidhi kinondoni ...taarifa hadi tena tiss na Takukuru wanajua kuwa makonda anashitutisha rushwa kwa makandarasi mkoa wa DAR kwa jina la kujenga ofisi za ccm huku 2/10 tu ndio akiiprleka ccm inayobaki yake
Miradi yote makubwa inayoendelea Mfano Machinjio ;barabara ; stand kuu wamempa mamilioni ya pesa na vifaa vya Ujenzi Kwa jina la ccm inayopata peanut

Kila kitu kiko documented ndio maana kina gambo nao wakamuiga kutaka pesa kwenye stand na miradi ya maji
 
Dah ... ÇCM MPYA ndiyo kilikuwa kilio wengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…