Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Onyesha popote ninapomsupport Membe, au unadhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww?
Mkuu utakwepa tuu ! But implicitly you do support this movement! Mie sio bendera fuata upepo as you wrongly think ! Mimi ni bendera fuata facts !
 
Mwenzako kasema miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi, wewe umechanganya vitu vingi pasipo mpangilio be specific unataka nini ujibiwe.
Mkuu unahitaji mpangilio gani kwa mfano ? Miundo mbinu inajengwa na kodi za wananchi sawa, bila serikali ? What is the subject matter above ? Membe membe membe ndio topic yenyewe!
 
Mkuu unahitaji mpangilio gani kwa mfano ? Miundo mbinu inajengwa na kodi za wananchi sawa, bila serikali ? What is the subject matter above ? Membe membe membe ndio topic yenyewe!
Umefuatilia post za huyo tindo unayemjibu ukajiridhisha anataka Membe awe rais, au una generalise kwa vile mada inahusu Membe.
 
Mkuu utakwepa tuu ! But implicitly you do support this movement! Mie sio bendera fuata upepo as you wrongly think ! Mimi ni bendera fuata facts !
Msimamo wa tindo

Mimi ninaamini Membe hawezi kuwa rais mzuri, lakini huyu wa sasa sio mzuri pia. Na pia tulishatoka kwenye kuongozwa kwa vitisho na kusujudia viongozi. Sasa hivi tunataka kiongozi anayeheshimu wananchi sio anayeogopwa na wananchi kisa anapandikiza hofu. Kama ni maendeleo tungeweza kuyapata hata chini ya wakoloni, lakini uhuru wetu ulikuwa na maana kuliko maendeleo ya wakoloni.
 
IMG_20190809_091704.jpeg
 
Mkuu utakwepa tuu ! But implicitly you do support this movement! Mie sio bendera fuata upepo as you wrongly think ! Mimi ni bendera fuata facts !

Kama sikumsupport Lowasa aliyekuja upinzani ndio mitamsupport huyo muhuni. Au unadhani kila asiyemkubali Magufuli basi automatically anamkubali Membe?
 
Ninachokiona ni Membe kupewa sifa ambazo hana. Hata hivyo sishangai kwa sababu wapinzani wa Rais Magufuli wana ombwe la mtu ambaye atapambana naye katika kiti cha Urais.

Kinachofanyika kwa sasa ni kumshabikia mtu yeyote anayesema au kuonekana atapambana na Rais Magufuli hata kama hana sifa ili tu kujaza ombwe.
Wachaaaaa, kweli Membe hana sifa za kupambana na Magu au unamaanisha vice versa.?? This is more than Praise and worship...
 
Bernard Kamillius Membe waziri wa zamani wa Mambo ya nchi za Nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 ndani ya chama cha Mapinduzi CCM. Anaripoti Yusufu Katimba.

Taarifa za hivi karibuni zinasema Membe ambaye alikuwa waziri kwa miaka minane ya utawala wa Jakaya Kikwete, ameapa kujitosa katika kinyang'anyiro cha kumpinga rais wa sasa John Pombe Magufuli.

"Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala tuombe Mungu niwe mzima. Nitajitosa na nitashinda." Amenukuliwa mwanasiasa huyo akiwaeleza baadhi ya wafuasi wake wa karibu ndani ya chama hicho.

Amesema, "Katika hili siwezi kurudi nyuma na hayupo anayeweza kunishawishi kurudi nyuma. Nitagombea, nitajitosa katika kinyang'anyiro hicho kwa kuwa nina kila sababu ya kufanya hivyo."

Kupatikana kwa taarifa kuwa Membe amepanga kujitosa katika mbio za urais 2020, kutaweza kumaliza mining'ono kuwa kwa muda mrefu kiongozi huyo amekuwa akiendesha mikakati yake kimya kimya ya kumkabili Magufuli ifikapo 2020.
Tunasubiri kwa hamu hiyo kesho JASUSI MBOBEZI AKICHUKUA FORM.
 
Miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi na sio hisani au mshahara wa rais. Hivyo miundombinu itajengwa na yoyote hata kama nchi itakuwa haina rais kwani mipango ya nchi ipo tayari.
Mkuu hao maiti wa ccm hawawezi kulielewa,wao wameshaaminishwa hivyo and they can't think otherwise
 
Tunasubiri kwa hamu hiyo kesho JASUSI MBOBEZI AKICHUKUA FORM.

Kwa jicho jingine naona lengo hapa sio URAIS, bali ni ule mpasuko kamili unaoweza tokea CCM .... kurasimisha KAMBI au MAKUNDI yaliyomo tayari ... matokeo yake yataathiri MCHAKATO wote wa UCHAGUZI. Suala la TUME HURU na kwa hiyo kupelekea kupatikana KIONGOZI BORA na sio BORA KIONGOZI si dogo. Masuala ya dhana za UKABILA, UBASHITE n.k yanayohusishwa na utawala wa awamu ya 5 ni baadhi tu ya dalili za afya mbaya hata kwa CHAMA. Ili kuyachokonoa yote hayo, namna mojawapo huenda ikawa ni hilo la JUMATATU. LETS SEE N HEAR
 
CCM ime survive mawimbi makubwa na hatari sana huko nyuma. Hapa sioni hatari au tishio lolote kwa CCM. Muundo na oganazesheni yake ambayo ipo kitaasisi sana kulingnisha na vyama vyote vilivyopo nchini ni miongoni mwa nguvu yake kubwa. Kinyume chake anayedhani anakwenda kukibomoa marazote wanakua wanabomoka wao kama individuals!

Nakumbuka hata ANC iliyoanzishwa 1912 wakati fulani ilituma ujumbe kuja kujifunza muundo wa CCM. UNIP ya Kenneth Kaunda ya Zambia isengefutika kama wangefuata ushauri wa CCM. Hata ile dhana kwamba hakunana mkubwa zaidi ya Chama inatekelezwa zaidi kwenye CCM kuliko kwenye vyama vingine
 
Back
Top Bottom