Kiwete ndivyo alivyo, anajifanaya mjuzi na mstaarabu wa mambo ili hali kwake yamemshinda, kila mtu anaweza sema kama urais ndiyo huu wa Ki...t basi hakuna anayeshindwa kuvaa viatu hivi. Hata under 18 years of age anaweza kukosoa mfumo wetu wa uongozi kuanzia ngazi ya chini hadi Rais. Ki..t amalizie tu kipindi chake asepe, asijiingine nchi za watu, kiukweli Rwanda siyo kama Tanzania kwa sasa.