Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa ni Rostam na Edward.Amepotoka.

Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.

Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!

Richmond haijaletwa na Rostam wala Edward nchini. Wewe unafahamu vyema jinsi JK alivyocheza dili la Richmond kishamba akishirikiana na Gire baada ya mazungumzo yao huko U.S. Baada ya mambo kuharibika ndipo Rostam na Edward wakashirikishwa. Unafahamu vizuri role aliyoicheza rostam kuhakikisha angalau dowans inazaliwa ili kumwokoa JK. Ya lowassa kujiuzulu unayafahamu vizuri sana sitaki kuyazungumzia kwa sasa.

Sitta hakuwahi kuwa rafiki wa Harrison hata siku moja. Alimtumia tu ili kutimiza malengo yake ya kumwondoa Lowassa kwenye nafasi yake. Wewe ndiye uliyekuwa ukiwachonganisha mara kwa mara JK na PM wake Lowassa. Hata nafasi ya nje uliipata kwa jungu kubwa na la ustadi wa hali ya juu ulilochezewa na vijana wawili wa usalama wa taifa kwa kumchafua Lowassa. JK akaanza kukuamini. Ulicheza vizuri karata kwani ulijua fika jinsi gani sitta alivyomchukia Rostam na Lowassa kwa yale waliyomtendea ili asiwe PM na kwa ustadi wa hali ya juu ukamshawishi Sitta alitumie bunge ili kumwadhibu Lowassa.

Mwakyembe ana ugomvi wa siku nyingi na Rostam hata kabla ya JK kuwa rais. Alitumia nafasi hiyo kumnyonga Lowassa na rafiki yake Rostam na kwa bahati mbaya akakiri ndani ya bunge kuwa kuna machafu mengi yameachwa ili kunusuru heshima ya serikali. Kosa kubwa sana kuwahi kufanywa na mtu aliyepitia idara ya usalama wa taifa. Unafahamu vyema kuwa hili kosa ndilo linalomgharimu Harrison huko Appollo. Baada ya Lowassa kuangushwa, ulikumbatiana na Mwakyembe, Rais akawapongeza, mkafurahi, mkabweteka na kumwamini JK. Kosa la pili kubwa.

Kwa bahati mbaya sana ukaungana na Mwakyembe, Mengi, Sitta, na wafuasi wake kwa ajili ya kuutafuta urais tena kwa kumtumia mwanaye Ridhiwani. Hili ni kosa la tatu kubwa kwani ulichanganya kwenye kundi lako watu wasio marafiki wa JK ambao kwa hakika wata-demand umburuze JK mahakamani pindi utakapokuwa rais.

Rostam-JK-Lowassa

1. Hawa ni marafiki wakubwa ambao licha ya wawili kuwa nje ya serikali lakini wote watatu wanaendesha serikali na hawasiti 'kuwanyamazisha'' wabaya wao wanaogusa interest zao. Individually wanatofautiana ila wakiwa watatu ni wamoja. Membe naomba ufahamu hili.
2. Wewe ulimtaka Sitta awe spika kwa mara nyingine tena. JK alimtaka Sitta pia lakini katika kikao cha watatu akakubaliana na pendekezo ingawa kwa shingo upande la Anne kuwa spika.
3. JK atakuwa safe kama Lowassa akiwa rais. Hatakuwa safe endapo mmoja wenu atakuwa rais. Anafahamu hili fika.
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015. Wakati wa kujadili, wewe na Mwakyembe mko tayari kusema ukweli. Ili kuwazima, Mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually
5. Ndani ya CC iliyopita zilipigwa kura za siri ili kumfukuza Lowassa uanachama. Kati ya wajumbe 32, 19 walimsupport Lowassa na 13 kwa JK!.Hapa wanaonekana ni wapinzani ingawa wakiwa watatu ni wamoja.
6. JK anaweza kukusikiliza na kujifanya mko pamoja naye. Lengo ni kutaka kujua what's going on in your group ili wawamalize vizuri.
7. JK hakumtaka Bilal, lakini umoja ukalazimisha ndiye awe makamu wa rais. Mkapa alitumwa bila kuelewa.
8. Hawa watatu kwa pamoja walimteua Mkama. Wewe hujui hilo ingawa mwenzako Chiligati alishastukia!
9. Membe unafahamu ya kwamba kujivua gamba ni hoja iliyoletwa na Rostam kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha watatu hao ili game iishie bungeni kwenye kujadili Richmond upya? Symbion iko nchini Membe. Unajua kaileta nani?. Je, nani kamleta Mama Clinton nchini?
10. Membe muulize Mwandosya akwambie jinsi watatu hawa wanavyomtesa. Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
etc, etc, etc, etc

Ushauri wangu kwa Membe:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person
Polepoel kumbe anajua fika
 
lkn MWAKEMBE yu hai tupo nae kitaaa!!!

Vifo utokea ata mitaani kwetu mtu mnaongea jioni hii saaa 5 usku utasikia tayali kafariki !!!

sasa kama ni Mwasiasa ndio nawapa Code iyoo ujinga ujinga mwingi !!!

tatizo letu wenyewe Watz sio watu wa kupima Afya zetu ndicho kinatughalimu wengine vijana kabisa ufia kwenye kiuno cha kike G. house Yumkin wengi tunashida za MOYO kutokana na kula vyakula venye mafuta mikuku hii ya 2weeks !!!

ukidondoka kitaaa jiran kakuroga !!!

ukiwa mwasiasa umerogwa na Rostam nk.

kifo cha Membe uwezi kukihusisha na mbio za Urais

pia cha Ndugai unawezaje kukihusisha na mtu wa pili kwasababu zipi kwa mfano!!??

Najiuliza ingekuwa CCM Taifa imekata jina lake kisha ndio kifo cha Ndugai !!!!!

daaa Polepole 👺👺 uyu uyu kwanza angechekea Chooni pili kazi ya kuwapanga wajinga ingeanza vile yeye anataka !!!

Watanzania tupime Afya zetu tuache porojo kwenye mambo yenye umuhimu na Afya yako.

Ukubwa dawa Pascal Mayalla huwezi kumpanga kitoto sio tu mwandishi mkongwe!!!

lkn anajua Mwenendo wa mambo Ulivyo anajuana na wengi ndani ya Serikali 💪

mfano Pascal akileta andiko apo jamii forum kuwa Maskofu wa RC wanamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan na CCM !!

vijana apa wataanza matusi kwake yakila aina mwisho wanabaki na Utoto wao !!!!

badala watulie watake kujua kwanini mkubwa Pascal kapata picha tofaut na kile wanachojua wao au kukiamini!!!

ili nawao wapate uwoni wake wa kikubwa kwamaana ya kuwakuza vijana wetu wawe na mitazamo mikubwa ya mambo wasome kauli na vitendo ndio wapate picha ya kile walichosikia. !!!

Vijana wenyewe wanaanza na matusi njaaa ya Pascal uteuzi hakuna 🤫🤫🤫 😰😰 vijana wetu wanakwama kwa uzembe tu.
 
Nyerere mwenyewe nilisikia!
Dr. Omar Ali Juma nikasikia
Mkapa nikasikia
JPM nimesikia
Wengine kazi yetu ni waandishi wa habari, ukisikia kitu ni kukitangaza kuwajulisha wahusika, wachukue hatua, na sio wewe kusema, ni kusikia kujulisha na kunyamaza tuu!.

Kuhusu JPM kutaka kutwaliwa, mimi nilitimiza wajibu wangu kikamilifu kabisa!
  1. Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
  2. US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
  3. Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
P
Na mwandishi wa huu uzi aliuawa na kutupwa kwenye kisima cha maji pale ‘OFISINI KWAO’
 
Na mwandishi wa huu uzi aliuawa na kutupwa kwenye kisima cha maji pale ‘OFISINI KWAO’
Screenshot_20250901-122446.png
 
Wala hiyo sio sababu. Nilikuwa member wa JF tangu 2010 kwa jina langu halisi na email yangu. Kufikia 2016 nililazimika kuviacha na kuanza kutumia ID hii ya kizalendo. Uhuru ule haupo tena.

Hao viongozi wote waliokuwa member hapa miaka hiyo bado wapo kwa ID za vificho. Hawako huru kueleza mawazo yao kama zamani.

Hata Mzee Mayalla enzi zile anaitwa Pasco alikuwa huru zaidi ya sasa. Kwa sasa analazikika kuficha ujumbe wake halisi katikati ya sifa na pongezi.
Sahihi sana jf hii sio ile ya 2015 na kurudi nyuma. Kulikua na nondo za uhakika, uwazi mwingi na uozo mwingi tu wa serikali uliweza ibuliwa kuanzia hapa jf na tukabaki salama. Mambo yakaanza kubadilika baada ya 2015, mimi kufika 2018 nilitengeneza akaunti nyingine ya kificho nikaachana na ile halisi. 2021 nikala ban kwenye hiyo akaunti ya kificho. Nikapotezea kwa muda mambo ya jf. 2022 nikarudi tena ila mwendo ule ule 'kificho'
 
Nyerere mwenyewe nilisikia!
Dr. Omar Ali Juma nikasikia
Mkapa nikasikia
JPM nimesikia
Wengine kazi yetu ni waandishi wa habari, ukisikia kitu ni kukitangaza kuwajulisha wahusika, wachukue hatua, na sio wewe kusema, ni kusikia kujulisha na kunyamaza tuu!.

Kuhusu JPM kutaka kutwaliwa, mimi nilitimiza wajibu wangu kikamilifu kabisa!
  1. Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
  2. US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
  3. Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
P

nina swali, hivi ni kwa nini kati ya wanaotwaliwa Christians wako overrepresented? i mean, wote ni Christians je, hii ime/inatokea tu au vita against the so called "mfumo Kristo" ?

war on Christianity is real ...
 
Ukisoma huu uzi kwa undani, unaona kabisa Sitta, Mengi na Membe wote waliuawa kwa amri ya wanamtandao wa Msoga
 
Ukisoma huu uzi kwa undani, unaona kabisa Sitta, Mengi na Membe wote waliuawa kwa amri ya wanamtandao wa Msoga
Mengi aliuawa na JIWE na matajiri wenzie wengi tu!! JIWE ilibidi wamuwahi maana kile kichaa kingemaliza wengi. Next target ya JIWE alikua JK!!

Ukimsikiliza kwa makini huyo kichaa Polepole ni kuwa JIWE alikua anazama kwenye ufashisti kamili.
 
Hapa nakuunga mkono mkuu kwa asilimua zote.

Theory ya kwsmba raisi aliyemadsrakani kauwawa basi ni dhahiri hakuna anayeweza toboa unless akae mbali sana
Ndo maana pole2 kasepa na uzuri alisema nawajua ,mmeenda kote ambako mi nilishaondoka siku nyingi

Anawajua vzr kuliko sisi
 
Tatizo ni generation tuliyo nayo

Tusisingizie mengine
Generation?
Acha masihara watu wanavyopotezwa hivi usingizie generation??! No way
Kipindi Cha pili cha jk nakumbuka ndo nilijiunga jf watu walikuwa wanaandika Kwa uhuru chochote mpk alipokuja magu ndo ule uhuru ulipotea.,..
Usisingizie generation, ukiacha machawa waliovamiq humu na kuharibu kabisa
 
Uko sahihi

But, generation hii ni ya waoga
 
Nyerere mwenyewe nilisikia!
Dr. Omar Ali Juma nikasikia
Mkapa nikasikia
JPM nimesikia
Wengine kazi yetu ni waandishi wa habari, ukisikia kitu ni kukitangaza kuwajulisha wahusika, wachukue hatua, na sio wewe kusema, ni kusikia kujulisha na kunyamaza tuu!.

Kuhusu JPM kutaka kutwaliwa, mimi nilitimiza wajibu wangu kikamilifu kabisa!
  1. Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
  2. US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
  3. Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
P
Nina swali kwako tofauti na hii mada jadiliwa hapa, ningeomba nikuulize kama utaamua kuindikia makala mara baada ya kuichanganua ni sawa au kama utaona vipi ianzishie uzi tu! Vipi naweza kukuuliza?
 
Back
Top Bottom