Membe Ateta Na Mzee Msuya Nyumbani Kwake Usangi

Membe Ateta Na Mzee Msuya Nyumbani Kwake Usangi

Watangaza nia wa CCM wana ukakasi sana...
Haohao walikuwa sehemu ya serikali zilizoshindwa miaka ya nyuma iweje leo wawe malaika wa kuwatoa watanzania kwenye lindi la umasikini??...
Huu ujumbe wako uwafikie Watanzania wote. Watanzania amkeni, kwa hawa watia nia wote wa CCM hakuna anayetufaa!
 
Back
Top Bottom