Membe Ateta Na Mzee Msuya Nyumbani Kwake Usangi

Membe Ateta Na Mzee Msuya Nyumbani Kwake Usangi

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,251
Reaction score
3,371
Mtangaza Nia Anayepigiwa Upatu Wa Hali Ya Juu Kuwa Huenda Anaweza Kuteuliwa Kuwa Kiranja Mkuu Leo Ameonekana Akiwa Faragha Na Pm Mstaa Cleopa David Msuya Nyumbani Kwake Usangi Mkoani Kilimanjaro Alikoenda Kutafuta Udhamini Mkoani Humo

Chanzo Cha Habari Kimedokeza Kuwa Mazungumzo Hayo Ya Siri Yalilenga Kuweka Mikakati Ya Kukabiliana Na Nguvu Za Lowassa Ambaye Ana Nguvu Sna Kanda Ya Kaskazini
 
Hata waungane na msuya na baba yake babu yake msuya moto wa lowasa hawawezi membe anashndwa kuelewa hesabu rahis tu kua lowasa alimuingza JK ikulu sasa panga alilotumia lowasa kumuingiza JK ikulu kaliongeza makali sijui anategemea nini kama si mafuriko. ..si kanda ya kaskazin lowasa anakubalika nchi nzma sema zaidi ni kanda ya ziwa ..kaskazin ...kigoma na zanzbar
 
Hijja Madava

Ata waungane na msuya na baba yake babu yake msuya moto wa lowasa hawauwezi membe anashndwa kuelewa hesabu rahis tu kua lowasa alimuingza JK ikulu sasa panga alilotumia lowasa kumuingiza JK ikulu kaliongeza makali sijui anategemea nini kama si mafuriko. ..si kanda ya kaskazin lowasa anakubalika nchi nzma sema zaidi ni kanda ya ziwa ..kaskazin ...kigoma na zanzbar
 
Last edited by a moderator:

Nguvu Ya Pesa Itashinda Utu Mkuu
 
Ata waungane na msuya na baba yake babu yake msuya moto wa lowasa hawawezi membe anashndwa kuelewa hesabu rahis tu kua lowasa alimuingza JK ikulu sasa panga alilotumia lowasa kumuingiza JK ikulu kaliongeza makali sijui anategemea nini kama si mafuriko. ..si kanda ya kaskazin lowasa anakubalika nchi nzma sema zaidi ni kanda ya ziwa ..kaskazin ...kigoma na zanzbar

Acha uongo wewe Lowassa mwenywe hawezi kujiingiza ikulu??? but a Gang of thugs behind him ila this time wameshikwa pabaya hesabu zimegoma.
 
Acha uongo wewe Lowassa mwenywe hawezi kujiingiza ikulu??? but a Gang of thugs behind him ila this time wameshikwa pabaya hesabu zimegoma.

watu uko sahihi kabisa ni kweli aisee hesabu zimegoma
 
Alichokiongea Msuya ni sumu kwa TeamLowasa kwa wiki hii yote: "Membe nakuunga mkono, ccm ikichagua wenye madoa ni pigo kwa chama na watanzania kwa ujumla. Najua unatosha kwa vipimo vya kanuni kumi na tatu" Msuya.
 
Attachments

  • 1434482336696.jpg
    1434482336696.jpg
    111.5 KB · Views: 293
msuya ana upako gani hadi atoe baraka,tunaweza kuuamini kwa tabu upako wa gwajima lakini sio msuya...Sokoine uko wapi tunakulilia
 
Watangaza nia wa CCM wana ukakasi sana...
Haohao walikuwa sehemu ya serikali zilizoshindwa miaka ya nyuma iweje leo wawe malaika wa kuwatoa watanzania kwenye lindi la umasikini??...
 
Hata waungane na msuya na baba yake babu yake msuya moto wa lowasa hawawezi membe anashndwa kuelewa hesabu rahis tu kua lowasa alimuingza JK ikulu sasa panga alilotumia lowasa kumuingiza JK ikulu kaliongeza makali sijui anategemea nini kama si mafuriko. ..si kanda ya kaskazin lowasa anakubalika nchi nzma sema zaidi ni kanda ya ziwa ..kaskazin ...kigoma na zanzbar

We chizi fisadi akubaliki pesa alizotuibia ndio zinatupeleka kwake
 
If I were Membe I wouldn't waste my precious time on Cleopa Msuya.

Hawezi msaidia chochote Lowassa is still the man to beat
 
Tunamwomba Mungu atuchagulie Rais mcha Mungu; atakayerejesha UMOJA wetu, atakayejenga uchumi Imara na atakayezuia uporaji wa rasilimali zetu unaendelea kwa kasi ya hatari kwenye madini, wanyama, gesi, mafuta, n.k. Kauli za membe na jazba zinamuondoa kabisa katika wale wanaoweza kutimiza hayo. Mzee msuya ni mwanadamu sisi tunamtazama Mungu maana kwake yote yawezekana. Wanajf wote semeni Amina.
 
sijui umekula maharage ya wapi wewe. nani kakuambia kuwa lowasa alimuingiza Kikwete ikulu? inamaana yeye alikuwa hautaki huo urais? kwa taarifa yako lowasa na sitta walijiunga na Kikwete ili wapate vyeo. ndo maana wakagombana wao kwa wao kwa kuoneana wivu kuwa mwenzangu amependelewa.
na Kikwete alichofanya ni kuwaweka wote pembeni ili mifarakano ipungue japo sioni kama imesaidia.

Back
Top Bottom